Mika chavala, anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini huyo dogo si mzembe ni balaaa zitooo ndo maana

Mika chavala, anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini huyo dogo si mzembe ni balaaa zitooo ndo maana

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo mbona wamemtaiti ni nani huyo si wamwachie, kumbe serikali inajua huyo ni mtu hatari. He is so bright and educated mixer connection na watu bright.


Kani inspire sana dogo ni fighter, ana exposure, alaf ana akili za hatari sana dogo katembea haswa anajichanganya hasa dogo ana ukataaa umaskini kwa kupambana na kwa juhudi kubwa, kwa kweli nmepitaa kwa ac yake Instagram katika harakati za upelelezi juu ya washukiwa nme mpigia salute dogo, tumpe umaarufu huyu dogo ataivusha tanzania wallah


Chavala too much and big respect to you brother from today am your fans keep it up mamen you know wat am say🫵🫵🫵🫵🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏❤️❤️❤️🔥🔥🔥🏆🏆🏆💪💪💪
 
Umeandika kama watu wote tumeiona hiyo videoa ya mahojiano na Lumumba. Umeshindwa kuleta video wote tuone basi leta hata hints tujue uhatali wake ni upi napo hutaki hadi tukubembeleze?
Watanzania ebu tupunguze ujinga kichwani, nimekuandikia jina lake hapo juu kimbia Instagram mtafute HUKO utapata mengi mazuri na mabaya kuliko Yale takayo kuweka hapa tuwe tunajiongeza basi mnakera
 
Sawa tutapunguza ujinga lakini uziwako hautafika page 2 . Kama ulikiona YouTube ni vema kusamalize sio wote wanauwezi aa ku stream video ya dk 30 huko yutubu
 
Dogo yupo vizuri sana ,bora aendelee kukaa huko huko nje awe anakabia juu juu kama wanavyofanya kina sativa,mange,maria ,ngurumo,munaluv etc akiwa huku ndani watamsumbua sana.
 
Umeandika kama watu wote tumeiona hiyo videoa ya mahojiano na Lumumba. Umeshindwa kuleta video wote tuone basi leta hata hints tujue uhatali wake ni upi napo hutaki hadi tukubembeleze?
Uzi kaandika kihuni sana full stop.
 
Umeandika kama watu wote tumeiona hiyo videoa ya mahojiano na Lumumba. Umeshindwa kuleta video wote tuone basi leta hata hints tujue uhatali wake ni upi napo hutaki hadi tukubembeleze?
FB_IMG_1764419573917.jpg

 
Sawa tutapunguza ujinga lakini uziwako hautafika page 2 . Kama ulikiona YouTube ni vema kusamalize sio wote wanauwezi aa ku stream video ya dk 30 huko yutubu
Bro nisikilize kuleta taarifa humu sio mpaka zifike page mbili, ume ni quote vibaya, Sina shida hiyo mkuuu lengo langu lilikua wewe🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵uhabarike sishindani humu is it okay🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom