BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Hapana bro sijambeza dogo ila mi nilikua najua ni mhuni TU wa uraiani nimepita kwenye acc MOJA Instagram ndo nikamcheki na mzee wetu huyo dogo ni bright kichwaniEti mtu hatar,sio hatar sema wanajitoa tu ufaham,huyo ni mtu makin
Sema tz ukiwa na akili unaonekana we ni hatar
Watanzania ebu tupunguze ujinga kichwani, nimekuandikia jina lake hapo juu kimbia Instagram mtafute HUKO utapata mengi mazuri na mabaya kuliko Yale takayo kuweka hapa tuwe tunajiongeza basi mnakeraUmeandika kama watu wote tumeiona hiyo videoa ya mahojiano na Lumumba. Umeshindwa kuleta video wote tuone basi leta hata hints tujue uhatali wake ni upi napo hutaki hadi tukubembeleze?
Uzi kaandika kihuni sana full stop.Umeandika kama watu wote tumeiona hiyo videoa ya mahojiano na Lumumba. Umeshindwa kuleta video wote tuone basi leta hata hints tujue uhatali wake ni upi napo hutaki hadi tukubembeleze?
Hii lugha hata haikuwa na ulazima wa kuitumia.Chavala too much and big respect to you brother from today am your fans keep it up mamen you know wat am say
Nawe usome kihuni hivyo hivyo.Uzi kaandika kihuni sana full stop.
WABONGO jau sana wanapenda kutafuniwa Kila kituNawe usome kihuni hivyo hivyo.
ExactlyNawe usome kihuni hivyo hivyo.
Hahaaahhaaaaaaaa ni mwendo wa spana Malaya nafungua Kila nutHii lugha hata haikuwa na ulazima wa kuitumia.
Hongera kwa Chavala!
Umeandika kama watu wote tumeiona hiyo videoa ya mahojiano na Lumumba. Umeshindwa kuleta video wote tuone basi leta hata hints tujue uhatali wake ni upi napo hutaki hadi tukubembeleze?
Bro nisikilize kuleta taarifa humu sio mpaka zifike page mbili, ume ni quote vibaya, Sina shida hiyo mkuuu lengo langu lilikua wewe🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵uhabarike sishindani humu is it okay🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Sawa tutapunguza ujinga lakini uziwako hautafika page 2 . Kama ulikiona YouTube ni vema kusamalize sio wote wanauwezi aa ku stream video ya dk 30 huko yutubu
Check hapo juuSawa tutapunguza ujinga lakini uziwako hautafika page 2 . Kama ulikiona YouTube ni vema kusamalize sio wote wanauwezi aa ku stream video ya dk 30 huko yutubu
Wanu naibu waziri Mika Chavala yupo mahabusu hii nchi upumbavu ni mwingi sana
NimeshawawekeaBro nisikilize kuleta taarifa humu sio mpaka zifike page mbili, ume ni quote vibaya, Sina shida hiyo mkuuu lengo langu lilikua wewe🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵uhabarike sishindani humu is it okay🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aseeeee 🫵🫵🫵🫵🫵🫵 ni genius mkuu, tishaaaaaaaa sanaaaaNimeshawawekea