Mika Mwamba kali kweli alikuwa mkali

dah!
kumbe Shega Tu ni mkono wake? 👏 👏 👏
 
Mabinti wa kitanga, bonge la beat, ikichezwa hata Leo unaweza fikri ilitengenezwa jana
 

Correction kidogo
Wanok nok mandojo&domokaya ft jide ni production ya P Funk Majani Bongo Records
Niaje dojo domokaya pia ni production ya P Funk Majani

Mikka Mwamba pia aliproduce ngoma hizi
1. Vumilia - utanikumbuka
2. Chid Benz ft mzee yusuph raha za dunia
3. Chege twenzetu
4. Album nzima ya Mad Ice ya kwanza
5. D Knob ft Q Jay Kitu gani
6. Papii kocha& nguza SEA
7. Papii kocha Fanta
8. papii kocha ft jay dee moyo
9. Papii kocha Salima
10. K-sal ft ferooz mwana mkiwa
11. Benjamin wa mambo jambo ft mad ice-wanasema nimedata
12. Mr Nice king'ast
13. Mr Nice kila mtu na demu wake
14. Mr Nice Mama
15. Mchizi Mox Mambo vipi
16. Inspector Haroon mtoto wa gate kali
17. Picco Kikongwe
18. Jiti ft waziri sonyo -Ndoto
19. Bushoke -msela jela
N.k Pia Miika alishiriki kufanya production nying za bendi hapa tz

MIIKKA KALI MWAMBA NI NYOTA YA BONGO FLAVA ISIOTHAMINIWA MCHANGO WAKE MKUBWA KWENYE MZIKI.
RESPECT MIIKKA MWAMBA
 

Sio kweli mandojo na domokaya walikorofishana p wakaamia kwa mika mwamba.

Hiyo wanock nock,taswira, zote ni za mika mwamba.

Nyimbo za mr nice ulizozitaja si mika mwamba bali kuna producer alikuwa anaitwa KAMETA ndio alitengeneza.
 
Chid Benz ft Mzee Yusuph

Japo ile ngoma sikumbuki jina lake but hii ngoma ni kali sana kwa muda wote
 
Sio kweli mandojo na domokaya walikorofishana p wakaamia kwa mika mwamba.

Hiyo wanock nock,taswira, zote ni za mika mwamba.

Nyimbo za mr nice ulizozitaja si mika mwamba bali kuna producer alikuwa anaitwa KAMETA ndio alitengeneza.
Mkuu ngoma ya wanok nok na ni production ya majani na hiyo ya niaje ft nature. Pia ngoma za nice hizo nilizozisema aliproduce Miikka Mwamba na zilizobaki ndio aliproduce KAMETA
 
Inasemwa beat ambazo majani alishindwa kuwatengenezea baadhi ya wasanii alimuomba mika amsaidie...
Mkuu Majani hajawahi kushindwa kutengeneza beat yoyote, bali hutokea producers wakashirikiana kutengeneza mdundo then majan na miikka zilikua haziivi so ilikua ngumu kwa hawa majabali kushirikiana. Majani alikua sometimes anashirikiana na kina Bizzman, Prof Ludigo, Marijani na Soggy Doggy hunter
 
Mkuu ngoma ya wanok nok na ni production ya majani na hiyo ya niaje ft nature. Pia ngoma za nice hizo nilizozisema aliproduce Miikka Mwamba na zilizobaki ndio aliproduce KAMETA
Hapana ni mika mwamba baada ya nikupe nn walikorofishana na majan wachukuliwa na jay dee na gadner kupitia record label yao ilikuwa inaitwa jag record ambayo pia ilimsimamia kuna mda mr blue ismail etc
 
Mkuu kama una ngona ya madee ft tid msanii naomba uitupie pia ngoma inaitwa gita gitaa nakupenda gitaa sijui jamaa anaitwa nanai yule
Hii ngoma mpaka Leo naisaka bila mafanikio msanii anaitwa NANI.. hii ngoma enzi hizo ilikuwa inaoneshwa sana channel ya C2C ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…