Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una ngoma ya saigon naitwa msamaha ya kitambo ivi
kwa alikua c mbongo?Mika Carly (Mwamba)View attachment 1118088
1.chambua kama karanga-saida karoli
2.kitobelo-saida karoli
3.Mapenzi kizungu zungu-saida karoli
4.Wanok nok-Mandojo&domokaya
5.taswira-mandojo&domokaya
6.niaje-mandojo&domokaya
7.Nizikwe hai-mandojo&domokaya
8.Nyambizi-dully sykes
9.julieta-dully sykes
10.salome-dully sykes
11.nyambizi-dully sykes
12.hi-dully sykes
13.Historia ya kweli-dully sykes
14.hip hop mdundiko-mambo jambo
15.embe dodo- benjamini
16.Elimu mitaani.com-D knob
17.mtoto wa geti kali-insp haroun
18. Rudi mpenzi -BDP
19.wosia-BDP
20.Kitambo kidogo-BDP
21.Kamanda-Daz nundaZ
22.Barua-Daz nundaz
23.Matatizo-Daz nundaz
24.Maji ya shingo-Daz Nundaz
25.omba umauti-fagio la chuma
26.fagio la chuma-fagio la chuma
27.Siri yangu-jay dee
28.usiuseme moyo-jay dee
29.wanaume kama mabinti-jay dee
30.Nakumind-temba
Correction kidogo
Wanok nok mandojo&domokaya ft jide ni production ya P Funk Majani Bongo Records
Niaje dojo domokaya pia ni production ya P Funk Majani
Mikka Mwamba pia aliproduce ngoma hizi
1. Vumilia - utanikumbuka
2. Chid Benz ft mzee yusuph raha za dunia
3. Chege twenzetu
4. Album nzima ya Mad Ice ya kwanza
5. D Knob ft Q Jay Kitu gani
6. Papii kocha& nguza SEA
7. Papii kocha Fanta
8. papii kocha ft jay dee moyo
9. Papii kocha Salima
10. K-sal ft ferooz mwana mkiwa
11. Benjamin wa mambo jambo ft mad ice-wanasema nimedata
12. Mr Nice king'ast
13. Mr Nice kila mtu na demu wake
14. Mr Nice Mama
15. Mchizi Mox Mambo vipi
16. Inspector Haroon mtoto wa gate kali
17. Picco Kikongwe
18. Jiti ft waziri sonyo -Ndoto
19. Bushoke -msela jela
N.k Pia Miika alishiriki kufanya production nying za bendi hapa tz
MIIKKA KALI MWAMBA NI NYOTA YA BONGO FLAVA ISIOTHAMINIWA MCHANGO WAKE MKUBWA KWENYE MZIKI.
RESPECT MIIKKA MWAMBA
Yupo wapi kwa Sasa producer Mika mwamba?
Chid Benz ft Mzee Yusuph1.chambua kama karanga-saida karoli
2.kitobelo-saida karoli
3.Mapenzi kizungu zungu-saida karoli
4.Wanok nok-Mandojo&domokaya
5.taswira-mandojo&domokaya
6.niaje-mandojo&domokaya
7.Nizikwe hai-mandojo&domokaya
8.Nyambizi-dully sykes
9.julieta-dully sykes
10.salome-dully sykes
11.nyambizi-dully sykes
12.hi-dully sykes
13.Historia ya kweli-dully sykes
14.hip hop mdundiko-mambo jambo
15.embe dodo- benjamini
16.Elimu mitaani.com-D knob
17.mtoto wa geti kali-insp haroun
18. Rudi mpenzi -BDP
19.wosia-BDP
20.Kitambo kidogo-BDP
21.Kamanda-Daz nundaZ
22.Barua-Daz nundaz
23.Matatizo-Daz nundaz
24.Maji ya shingo-Daz Nundaz
25.omba umauti-fagio la chuma
26.fagio la chuma-fagio la chuma
27.Siri yangu-jay dee
28.usiuseme moyo-jay dee
29.wanaume kama mabinti-jay dee
30.Nakumind-temba
Mkuu ngoma ya wanok nok na ni production ya majani na hiyo ya niaje ft nature. Pia ngoma za nice hizo nilizozisema aliproduce Miikka Mwamba na zilizobaki ndio aliproduce KAMETASio kweli mandojo na domokaya walikorofishana p wakaamia kwa mika mwamba.
Hiyo wanock nock,taswira, zote ni za mika mwamba.
Nyimbo za mr nice ulizozitaja si mika mwamba bali kuna producer alikuwa anaitwa KAMETA ndio alitengeneza.
Yap ni ngoma kali sana mkuuChid Benz ft Mzee Yusuph
Japo ile ngoma sikumbuki jina lake but hii ngoma ni kali sana kwa muda wote
Chid Benz ft Mzee Yusuph
Japo ile ngoma sikumbuki jina lake but hii ngoma ni kali sana kwa muda wote
Mkuu Majani hajawahi kushindwa kutengeneza beat yoyote, bali hutokea producers wakashirikiana kutengeneza mdundo then majan na miikka zilikua haziivi so ilikua ngumu kwa hawa majabali kushirikiana. Majani alikua sometimes anashirikiana na kina Bizzman, Prof Ludigo, Marijani na Soggy Doggy hunterInasemwa beat ambazo majani alishindwa kuwatengenezea baadhi ya wasanii alimuomba mika amsaidie...
Chid Benz ft Mzee Yusuph
Japo ile ngoma sikumbuki jina lake but hii ngoma ni kali sana kwa muda wote
Hapana ni mika mwamba baada ya nikupe nn walikorofishana na majan wachukuliwa na jay dee na gadner kupitia record label yao ilikuwa inaitwa jag record ambayo pia ilimsimamia kuna mda mr blue ismail etcMkuu ngoma ya wanok nok na ni production ya majani na hiyo ya niaje ft nature. Pia ngoma za nice hizo nilizozisema aliproduce Miikka Mwamba na zilizobaki ndio aliproduce KAMETA
Hii ngoma mpaka Leo naisaka bila mafanikio msanii anaitwa NANI.. hii ngoma enzi hizo ilikuwa inaoneshwa sana channel ya C2C ...Mkuu kama una ngona ya madee ft tid msanii naomba uitupie pia ngoma inaitwa gita gitaa nakupenda gitaa sijui jamaa anaitwa nanai yule