Mika Mwamba kali kweli alikuwa mkali

Kuna ngoma ya Ismail ile anaimba " unansononesha unansikitisha pale unapopita na vazi lako LA kanga , honey moyoni mwangu mi sina raha " nje ya mada kidogo KIOO kama unayo naomba huu wimbo tafadhali
 
Baridi ya Enica alitengeneza nani?mana lilegoma ni balaaa mpaka sasa sijaona,pamoja na hiyo Eno mic
 
Kuna ngoma ya Ismail ile anaimba " unansononesha unansikitisha pale unapopita na vazi lako LA kanga , honey moyoni mwangu mi sina raha " nje ya mada kidogo KIOO kama unayo naomba huu wimbo tafadhali
Rangi ya chungwa.
 
[USER]KIOO[/USER] hivi wewe ni Dynamic au unampata Dynamic? Ni mdau mkubwa sana wa Bongofleva.

Ila big Up Bro
 
Chege ft Mandojo & Domokaya - Kaunta ya Juu
Chege - Teacher
Godman ft Mad Ice - Vumilia
Mandojo & Domokaya - Nizikwe Hai
Matonya - Uaminifu
Solid Ground Family ft Gorilla Killaz - Eh Mola
O Ten - Voice Mail
Hard Mad - Sema Unachotaka
Taqwa - .......
 
Mila alitembea na bongo fleva, Majani alitembea na HipHop na rap zote. Ukizungumzia muziki wa bongo bila kumtaja Mika ni kumkosea heshima, na ukizungumzia bongo hiphop bila Majani isingekuwa hapa ilipo.
Natamani hii thread Iende kama ile ya P-Funky.
Wataalam watundike na "maudio" kabisa humu
 
 

Attachments

Mika mwamba noma.pigo zake hatari.
Mkuu KIOO naomba kama una ngoma ya suma lee mwache aende zake nisaidie. naisaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…