Hii sio kwamba ilifanyika FM Studios lakini chini ya Producer Double D? Ambae alifanya pia track ya Tumbo deni la dunia ya haohao Uswahilini Matola na Darubini Kali ya Afande Sele, Asha Mapromise ya Dully nkKosa la marehemu- uswahilin matola
Alifanya interview na Millard Ayo mwaka 2017. Alieleza poa sanaDuh! sasa mbona hata yeye kiswahili kinampiga chenga 🙂 🙂
Ila sio Mbaya, anakijua kiswahili kimtindo
Julieta - Dully SykesSalome - Dully Sykes
Kuna swali niliona jana lilinifikirisha, Naomba ushirikiano maana nakuona uliifatilia game kwa umakiniJulieta - Dully Sykes
Hi - Dully Sykes
Baby Girl - radio edit (acha ile version iliyofanyiwa video) ilikuwa ina unyama sana wa production na mixing ambao mpaka sasa producers wengine kibongo wanaweza wakawa hawana ujuzi nao
AY - Raha tu (original version)
Mez B - Fikiria (iilikuwa ngoma kali sana)
HipHop Mdundiko - Mambo Jambo
Mkao wa Kula - Mambo Jambo
Mchizi Mox - Mambo vipi
List ni ndefu sana aisee,
Hakika. Mzungu katoka kwao kaona fursa Bongo na katoboa. Ila kijana kasoma zake BA Archaeology sijui BA Sociology nae analalamika ajira kutwa kulilia Ajira za Sensa au halmashauriMindset zetu ndivyo zilivyosetiwa mashuleni, kuiepuka hii mindset hadi ufeli shule ama uwe na akili ya ziada kujitambua
Hatuwekezi kwenye kujifunza ujuzi binafsi kwenye kazi za mikono na vipaji.Hakika. Mzungu katoka kwao kaona fursa Bongo na katoboa. Ila kijana kasoma zake BA Archaeology sijui BA Sociology nae analalamika ajira kutwa kulilia Ajira za Sensa au halmashauri
Daah. Hapo kijana anataka awe na gari, nyumba, na lifestyle ya insta kama Celebrities. Ila pesa hana matokeo yake yanasikitisha Nlni ama aibe au aolewe na wenye pesa hatimae LGBTQHatuwekezi kwenye kujifunza ujuzi binafsi kwenye kazi za mikono na vipaji.
Leo hii wahitimu wengi ukiwapora vyeti vyao wanalala njaa, hata kushona kiatu mtaani hawezi, kipaji chake cha kuimba ama kutengeneza beats akiwa sekondari kilishafukiwa na wazazi wake waliokuwa wanamwambia aachane nacho ajikite tu kwenye masomo,
Duh ushaongea nae tayariDuh! sasa mbona hata yeye kiswahili kinampiga chenga 🙂 🙂
Ila sio Mbaya, anakijua kiswahili kimtindo
Master J na P Funk walishalijibu hili swali mara nyingi tu kwenye interview zao kwamba mziki zamani ulilipa lkn wanamziki ndio walikuwa wajinga tuMaprodyuza na Wasanii wengi wakongwe kwa midomo yao wamekua wakitoa kauli mara kadhaa kwenye media kwamba mziki enzi hizo ulikuwa haulipi na walikuwa wanafanya kwajili ya mapenzi tu ya kuikuza sanaa
MarijaniGirlfriend nani kapiga kile kinanda?
Kumbuka mke Mzungu wa Mad ice ni Dada yake miika mwamba
Mzungu kaja Bongo kutafuta fursa na katoboa. Marasta Arusha wanawaza kutobolewa SPIKA na hao hao wazunguSikuwahi kujua kama Mika ni mzungu nimejua leo dah