Mikakati ianze kuhakikisha Heche na Lema hawashindi jimbo lolote watakalogombea mwaka 2025

Mikakati ianze kuhakikisha Heche na Lemma hawashindi jimbo lolote watakalogombea mwaka 2025
Wacha mihemko na chuki. Ni jukumu la wananchi kuchagua mwakilishi wao, siyo kikundi kidogo cha wazee wa chuki na fitna za kitoto
 
Wananchi watapiga kura tu, mengine hayawahusu
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
Kwa faida ya nani?
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
ni muhimu sana kuwadhibiti kwa kujiridhisha tu,

but,
kiuhalisia nikuhakushieni tu kwamba, hakuna hakuna jimbo la uchaguzi wa Tanzania linaweza kuwaruhusu watu kama Lema na Heche achilia mbali kushinda uchaguzi, hawastahili hata kuruhusiwa kugombea udiwani tu tu 🐒
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
Ushaur wako katoe Kwa chawa wenzio
 
Halafu unapata faida gani kinembe? Uchawi wako wataka kushirikisha watu wengine, si ufanye mwenyewe?
 
Asili ya neno ushirikina ni ushirikiano. Karibu tushirikiane kuwabomoa Hao mamluki
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
...Mbowe akirudi kwenye uwenyekiti, chadema wabunge itabaki historia, kule mbeya sugu kashaambiwa, lissu asiposhinda tulia atapata ushindi wa kimbunga
 
Back
Top Bottom