Mikakati ianze kuhakikisha Heche na Lema hawashindi jimbo lolote watakalogombea mwaka 2025

Mikakati ianze kuhakikisha Heche na Lema hawashindi jimbo lolote watakalogombea mwaka 2025

Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi

Kwani ma CCM mna agenda gani CDM?
 
ni muhimu sana kuwadhibiti kwa kujiridhisha tu,

but,
kiuhalisia nikuhakushieni tu kwamba, hakuna hakuna jimbo la uchaguzi wa Tanzania linaweza kuwaruhusu watu kama Lema na Heche achilia mbali kushinda uchaguzi, hawastahili hata kuruhusiwa kugombea udiwani tu tu 🐒

Kwani ma CCM mngewapendelea zaidi kina nani?
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
Kimsingi hawawezi wapa majimbo si wanajikuta
 
Lumumba buku 7 mnataka mbaki na watu walio na akili za zidumu fikra za mwenyekiti mtu akitumia akili zake kuhoji kwenu ni tatizo.

Si ajabu hata Ndugai alipotumia akili zake kutoa mawazo aliwekwa under house arrest na barua ya kujiuzulu ikaandikwa bila idhini yake na akalazimishwa kuomba msamaha kwenye media kwa kutoa mawazo yake na ndio maana nchi itabaki kuwa nyuma maana kuwa kunguni wa watawala inaonekana ndio mkakati mpya.

Michango kama hii bungeni wasipokuwepo watu kama kina Lissu unatarajia uisikie kwa kina Babu Tale au Mwana FA ambao wakipewa nafasi kuchangia mjadala dk 5 ni kushukuru familia na wake zao,dk 10 za kumshukuru Mama Abdul na dk 1 ya kuchangia tena mchango duni huku wakigongewa meza !

Sikiliza akili kubwa hapo wewe kunguni wa mama Abdul , hiki ndio watanganyika wamekikosa kwa miaka 5 hii kwa ushenzi wenu.

View: https://youtu.be/hsNMiqFLPVU?si=u5INd_lyO4tt7BfV
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
Wamesema hawagombei.Wanafiki
 
Hii dunia siyo ya Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi
 
Kwa namna walivyosiliba wagombee kwa chama gani? Labda TLP
 
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.

Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
Ili iweje?
 
Back
Top Bottom