Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda;

Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years.

Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama.

Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake.

Nne, kufuta MYTH ya UKASKAZINI ndani ya chadema :Myth hii ilitengenezwa na CCM kwa MAKSUD, kama ilivyotengenezwa Uislam na CUF. CHADEMA NI MALI YA WATANZANIA.

Tano, ni kuongeza idadi ya wanachama.

Sita, RESUMPTION ya mapigano ya KATIBA MPYA. Bila katiba mpya juhudi nyingi will go in a VAIN!

Note : Katiba inayotumika sasa iliandikwa na watu ambao hawakuwa na knowledge and life transformation tuliyonayo kwa sasa, and most of them are dead bodies now . Hivyo we must align our KATIBA with the current situation.

Saba, kuhakikisha Creams zote zilizokimbia Chadema zinarudi. Tulipoteza watu wenye akili sana.

Mwisho, kampeni zitakapoisha, HESHIMA ya mbowe ilindwe . Hatutoweza kusahau mchango wa Mbowe, Mtei na wengineo ndani ya Chadema.


Dr Megalodon Mushy, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
 
Back
Top Bottom