Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nimependa sana some strategies zinazotumiwa na wahuni kuishi. Asee wahuni wana balaa sana, some tips natohoa kwao ili nipate kitu perfect mwakani. Mbinu kubwa ya utajiri ni ubahili, minimize cost as you can kama "earning" haiongezeki
Mwakani wakuu rum ya elfu 20 ya umeme mbagala inatosha, nitapanda mchaichai nje kuondoa gharama za majani ya chai. Nitakua naomba moto kwa jirani kama wanne hiv jiko linajaa napika hakuna haja ya kununua mkaa.
Nitanunua kanzu moja, hii kuanzia misiba na ndoa hitima nimo mpaka nile hiyo. Kanzu hii ya kuendea msikitini hasa usiku naoga kabisa huko huko kupunguza bajeti ya maji.
Kuna haja ya kucheza na nyakati hasa mchana, mida mizuri ya kutembela ndugu na marafiki itaanzia saa 7 mchana kuvizia kula mana wengi wanakula kati ya 7:20 mpaka saa 9 hapo. Atleast weekly nikibahatisha milo mitatu kwa ndugu na rafiki kwa mwezi nitasave kama 20 hivi sio kesi sana.
Kumekuwa na haja ya kuendelea kusite maeneo yenye wifi na kupambana mpaka kupata password ili inipunguzie bajet ya bando. Watu wa manispaa temeke mje inbox nina dili na ninyi
Kalaga baho