Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

Huo mda unaozunguka kuomba mkaa na kuvizia chakula utapata wapi mda wa kutafuta pesa ya kukusanya kama mtaji? Saa 7:20 had saa 9 upo mtaani
Ah we kumbe bado kwemye hii tasnia sana. Hii industry tunaijua wenyewe kaka kutafuta hela sio lazima kushinda kariakoo wengine madalali umelala geto kumbe ndo ushaingia kazin
 
Daah, yani nimefungua uzi kwa spidi nikajua kuna mbinu za maana za kusave money, kumbe mwamba ana mbinu za waliofeli duuh!!
Una mbinu hata moja hapo tentative mkuu? Hizi mbinu za uswahilini huku watu tusio na mipango 🤭
 
Niseme tu kwamba umeanza kuunajisi mwaka kabla hata haujatimu.

Hizo nguvu zote za kufanya timing na janjajanja ya kula bure, ungeelekeza kwenye shughuli ya maana, mbona ungeshatoka kitambo sana?
 
wakati unadhibiti njia za pesa kutoka ongeza na njia za pesa kuingia!, maana unaweza kujikuta unaishi kama shetani halafu hugeuki kuwa malaika!, maana lengo la wewe kufanya hivyo ni baadae kujakuwa malaika so angalia usije ukaliwa na stress!.

halafu acha ushamba unabanaje bajeti kwa kwenda kula kwa wengine unafikiri wenzako hawana bajeti..? huo ni ujinga, panga ratiba yako yachakula.
Nakazia
 
Back
Top Bottom