Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

Huo mda unaozunguka kuomba mkaa na kuvizia chakula utapata wapi mda wa kutafuta pesa ya kukusanya kama mtaji? Saa 7:20 had saa 9 upo mtaani
Ah we kumbe bado kwemye hii tasnia sana. Hii industry tunaijua wenyewe kaka kutafuta hela sio lazima kushinda kariakoo wengine madalali umelala geto kumbe ndo ushaingia kazin
 
Daah, yani nimefungua uzi kwa spidi nikajua kuna mbinu za maana za kusave money, kumbe mwamba ana mbinu za waliofeli duuh!!
Una mbinu hata moja hapo tentative mkuu? Hizi mbinu za uswahilini huku watu tusio na mipango 🀭
 
Niseme tu kwamba umeanza kuunajisi mwaka kabla hata haujatimu.

Hizo nguvu zote za kufanya timing na janjajanja ya kula bure, ungeelekeza kwenye shughuli ya maana, mbona ungeshatoka kitambo sana?
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…