Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Ndo maana nimekwambia TUMEPEWA AKILI NA UTASHI.tunawez kutambua mambo kwa kutumia akili.haiwezakani ukamuue mtu alafu useme mungu amepanga nimuue mtu.
Akili na utashi ni wamepewa binadamu ili wajihisi wapo huru lakini hakuna kitu kama hicho

Mungu/Allah anajua kila kitu kabla ya kuzaliwa kwako, maisha yako yote duniani yatakuwaje, na utakufa lini na muda gani na kifo gani, na pia anajua ukifa kutokana na matendo yako wakati upo duniani anajua kuwa utaenda peponi au motoni,
Labda uniambie kuwa Mungu/Allah Hana huo uwezo nilizosema lakini kama ana uwezo huo kwanini aliumba watu ambao mwisho wake ataenda kuwachoma Moto?????
 
Ndo maana nimekwambia TUMEPEWA AKILI NA UTASHI.tunawez kutambua mambo kwa kutumia akili.haiwezakani ukamuue mtu alafu useme mungu amepanga nimuue mtu.
Kuna wakati unaweza kwenda kuomba kazi mahali halafu baada ya kuhangaishwa na usumbufu na kila Aina ya vikwazo halafu ukavivuka, kibaya zaidi Ile kazi ulioomba ukakosa, utamsikia mtu au watu wakimfariji wakisema kuwa Mungu/Allah hakupanga wewe ufanye kazi pale,

Hii kauli ya Mungu/Allah "MUNGU HAKUPANGA" huwa inashiria nini au huwa na maana gani???
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ameruhusu vipi makosa yaweze kwepo katika kitabu chake ambacho watu wengi sana wanakiamini?

Na kama Biblia ina makosa, unaweza vipi kuthibitisha kuwa hata hiyo hoja ya kuwepo Mungu yenyewe nayo si makosa?

Tunaona kimantiki hoja kama ya problem of evil inaonesha kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ni contradiction.

Ama ulimwengu unaoweza kuruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo, ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.

Tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, hivyo Mungu huyo hayupo.

Unatatuaje contradiction ya "Problem of Evil" ambayo mpaka sasa inatuonesha Mungu hayupo?
 
Haya mapambo ya Mungu na no Mungu bado yapo tu mpaka siku hz?
 
Maandiko yote ya kidini ikiwemo hiyo Quran yenu ni Hadithi za kutungwa, Fairytales, myths.

Allah( Mungu) hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Thibitisha kama hayupo[emoji4]
 
Ukisoma vizuri pharao alikwisha salenda Mungu kutokana alikuwa bado hajamaliza kuua akaufanya Moyo wa pharao kuwa mgumu
 
Maandiko yote ya kidini ikiwemo hiyo Quran yenu ni Hadithi za kutungwa, Fairytales, myths.

Allah( Mungu) hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Watutungie basi vitabu vingine na majina mengine mapya ya Mungu
 
Thibitisha kama hayupo[emoji4]
1. Mungu ana sifa za kujua yote, kuweza yote na kuwa na upendo wote.
2. Mungu ana sifa ya kuumba ulimwengu.
3. Ulimwengu huu unaruhusu maovu kuwepo.
4. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na maovu ni contradiction.
5. Ama Mungu huyu yupo na ulimwengu wenye kuweza kuwa na maovu haupo.
6. Ama ulimwengu wenye kuweza kuwa na maovu upo, na Mungu hayupo.
7. Mawili hayo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kwa upande mmoja, na ulimwengu unaoweza kuwa na maOVU kwa upande mwingine, hayawezi kuwapo pamoja (mutually exclusive)
8. Ulimwengu unaoruuhusu maovu upo.
9.Hivyo, Mungu hayupo.
10 QED.
 
Mungu/Allah anasema samehe 7x70, lakini yeye mwenyewe alishindwa kuishi hii kanuni, kosa moja la Adam na hawa alishindwa kusamehe kibaya zaidi alihukumu hadi mimba na vizazi vilivyofuatia,

Wakati Sisi wenye binadamu hatuna roho hiyo maana Sisi kosa la Baba au mama haliangamizi familia nzima kisheria
 
Umeshasema WANAFARIJIANA.au una AYA NA ANDIKO?
 
Hapa hakuna
Hapa hakuna mkanganyiko wowote ni swala la uelewa wa biblia na context yake.
 
Hapo ndipo utagundua kuwa huyu Mungu ni muhisika wa hadithi ya kutungwa ya watu tu, tena watu ambao walishindwa kutunga hadithi yenye logical consistency.

Nje ya hiyo hadithi ya kutungwa na watu, Mungu huyo hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…