MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Ibilisi aliumbwa na Nani????Iblis ni miongoni mwa MAJINI na hakuwa Malaika kama wengi wanavyodhani! Malaika hawana sifa ya uasi, hawana matamanio na wala hawana watoto . Majini wana sifa kama za wanadamu tu, wanaasi,wana jinsia, wana matamanio, wana uzao n k
Aliyemuumba alikuwa Hana uwezo wa kujua kuwa atamuasi?????
Sasa kama Mungu/Allah anakosea kwanini amchome binadamu Moto Kwa makosa yake yeye????
Kama Mungu/Allah aliumba malaika ambao hawana uwezo wa kumuasi Mungu/Allah alishindwa nini Kwa binadamu?????