mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwanini unasema MUNGU HAYUPO?Maandiko yote ya kidini ni Hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Dhana ya uwepo wa Mungu mwema, mkamilifu, mwenye kujua yote, muweza wa vyote na mwenye upendo na huruma Kwenye Dunia iliyojaa uovu, ukatili, uasi, mabaya na shida za kila aina ni uthibitisho kwamba Mungu huyo Hayupo.
Mungu mkamilifu, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na uovu?
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu wasio na uwezo wa kutenda dhambi, ukatili na ubaya?
Mungu mwenye kujua yote, Hakujua kwamba uovu, ukatili na mabaya yatakuja kuwepo duniani ayadhibiti mapema?
If God wanted us in Heaven Why he created us on Earth?
Mungu huyo, Alishindwaje kutuumba tukiwa mbinguni directly kama alitaka tuwe Mbinguni?
God is a fictional character invented by religion to scam people.
Religion convinced people that there's an invisible man beyond the sky who watches everything.
Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.
God doesn't EXIST.
Kila mtu huzaliwa Atheist hata wewe ulizaliwa Atheist mpaka pale ulipo aminishwa kwamba kuna invisible creature beyond the sky anaitwa Mungu.
Hizi ni fiction stories za kurithishwa.