Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Sikuiona hiyo comment ningeiona hata kwenye ule uzi wake nisingeandika chochote. Nilijua yameisha kumbe bado ananitukana huku, sitaki tena mazoea ya kipumbavu anikome.Heee Jamani kwani Ile Hela mmekubaliana kule kuwa itatumwa Kwa Wakala Wa Njia ya simu haikufika?
Mbona kama kule tayari mmeshakubaliana[emoji1787][emoji114]
Hapo Manyoni mimi huwa nalala pale NARUMU, ipo vizuri kwakweli.Nina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.
1.Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala
2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke
3.Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti,alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa
4.Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.
5.Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.
6.Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7.Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana
Heee Jamani kwani Ile Hela mmekubaliana kule kuwa itatumwa Kwa Wakala Wa Njia ya simu haikufika?
Mbona kama kule tayari mmeshakubaliana[emoji1787][emoji114]
Mi pia naogopa sana kulala Lodge mwenyewe niliwahi kulala Lodge asubuhi niwahi bus, usiku kama saa nane hivi nasikia mtu yupo busy anaingiza funguo na kuzungusha kitasa niliogopa....bahati nzuri nilifunga sikuchomoa funguo, nikapiga simu reception eti nikaambiwa ni mlinzi anakagua vyumba visivyo na watu mxyuuuuu saa nane usiku tena giza, yani huwa nawaza angefungua sijui nini kingetokea [emoji17][emoji17][emoji17] silali lodge peke angu tena
Emmy wa Mwanza kile chembamba?
Sijui out of topic ila acha niandike labda inaweza kumsaidia somebody. Unapoenda kulala iwe ni lodge, hotel au guest kama sio kwa kufanya matusi basi jitahidi uwe unapaombea.
Kuna siku nilienda moro kikazi..nikalala kwenye lodge pale mjini. Katikati ya usiku nikashangaa nimepata huzuni sana...najiuliza kwani vipi mbona sielewi. Nikasikia sauti ombea kitanda. Ombea mashuka mpaka mito...kuna roho ya huzun imeachiliwa hapa na aliyetoka kulala hapa.
Nikajikuta nasali sana na ndo nikapata amani na kulala. Na kesho yake nikaamka fresh nina amani moyoni. Sasa huwez jua alietoka kulala hapo nani..na ana maroho gani(evil spirits). We hujawahi ona unakutana na mtu asubuhi unaenda kwenye rizki na ana nuksi zake afu ukainteract nae hata kukupa mkono. Unajikuta siku haiend mzee. Pray for the beds mnazolalia...neno langu sio sheria anyways unaweza amin unachotaka pia. Be blessed
Kuna hii moja temeke 2016 huko yombo dovya nimezama lodge na mtoto mlito kwenye purukushani huku na huku kumbe wakat napiga game heavy na yule demu anakaribia kukojoa
Chini ya kitanda wamejaa kunguni wengi balaa sasa ile mishe mishe ya kitanda ni kama tumewachokoza aisee wakaanza kutoka sasa baba ako ikabd nizuge kama siwajui kwa sabb yule demu kwao mambo safi wakishua sana imagine mtoto alikuwa advance level marian Girls kunguni yeye anawasoma kwenye kitabu ajawai meet nao fiscal nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji3]
Mi kuna siku nimebook hotel saa 10 jioni, nikaingia pale saa 6 usiku, wakanambia natakiwa toka kesho kutwa yake ingekuwa hizi lodge zetu hakika kesho saa 4 wangegonga
Dunia ndogo sana,Dinesh na ndugu yake roiti hawa jamaa nimecheza nao utotoni,na namba zao nilikuwa nazo,last time nilikuwa ngudu hapo januaryDinesh yupo hadi fainal ya mwaka huu amecheza waliingia NDUGU na HUNGUMALWA
Lakini kwa sasa kila sehemu imeanza kubadirika,madiwani wanawekeza kwenye guest sababu wao ndo wanasumbuliwa na wageni.Nilichogundua, mikoani huko ndani ndani wilayani hakuna lodge ya maana/yenye hadhi zipo chache Sana, mtu inabidi kushukia kwenye hayo hayo mazingira ,,, ndio maana unakumbana na hizi kadhia !
Ukisoma michango mingi ya wadau utagundua Ni huko ndani ndani Sana,,, ! Tanzania yetu Bado Sana kimaendeleo ! Huduma Bora na za msingi zipo mijini tu
Siongelei Manyoni hii mzee baba,naongelea Manyoni barabara inapita kule kati kabla haijajengwa hii mpya.Na ilikuwa ni ndichi huko sio hapo town
Ni hanson choice pombe.Harrison Mwakyembe ni nini Mkuu?
Aisee, kumbe!Ni hanson choice pombe.
Dah nilivumilia tu hakuna namnaUngeomba urudishiwe kias Cha pesa
mwamba ni ZEROImmaturity boss upgrade your thinking capacity
Huna akili, eti "Simpi nafasi"[emoji1787][emoji1787] ila mwanamke ni mwanamke tu, Hunipi nafasi kwani unanijua?[emoji1787][emoji1787]Watu wa aina yake nakutana nao sana nishawazoea. Sijui ana lengo gani na mimi lkn simpi nafasi katu,huu upuuzi akawapelekee wapuuzi wenzake.
Mkuu, hii post ya povu niliyoiweka hapa ilikuwa ni kabla ya moyo wangu kukunjuka! Baada ya kuiweka, masaa mawili baadae ndo nikatengeneza uzi wa kumuomba msamaha, labda yeye alihisi post ile ilifuata baada ya uziHeee Jamani kwani Ile Hela mmekubaliana kule kuwa itatumwa Kwa Wakala Wa Njia ya simu haikufika?
Mbona kama kule tayari mmeshakubaliana[emoji1787][emoji114]