Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello sis😘!Hellow there
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.
Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.
Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofiwa wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. Kuniuliza jina lake nikabwatuka Mary na demu kajibu jina lingine. Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale jamaa akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.
Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi. Ilibidi saa 11 nikimbie, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.
Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Kivipi?. Hilo tukio lilitufanya tusiachane mpka leo.
Tulivamiwa aisee sitakaa nisahau ile siku mpk leo nina phobia ya kulala hotel au lodge ambazo sio za ghorofani,yani nahisi ghorofani nipo safe. Hilo tukio lilitufanya tusiachane mpka leo.
Mkuu hebu eleza kwa kina kidogo.Tulivamiwa aisee sitakaa nisahau ile siku mpk leo nina phobia ya kulala hotel au lodge ambazo sio za ghorofani,yani nahisi ghorofani nipo safe. Hilo tukio lilitufanya tusiachane mpka leo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dah hao watu mngewaua kwa presha kudhani wamefumaniwaSiku moja nipo mkoa X nishapanga game na kidemu flani hivi.. mida kama ya saa 10 hivi nikafika lodge ili niandae mazingira..
muhudumu akasema vyumba vipo sasa katika kunipeleka vyumba kuviona [emoji23][emoji23] si nikaingia Chumba watu wanakulana.
hawakufunga ata mlango na yule muhudumu alijisahau juu ya kile Chumba, aisee walishtuka sana walijua ndo wamefumaniwa.. sitasahau hiyo
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.
Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.
Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofiwa wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. Kuniuliza jina lake nikabwatuka Mary na demu kajibu jina lingine. Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale jamaa akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.
Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi. Ilibidi saa 11 nikimbie, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.
Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Hata jina niliweza kuuliza basi.Huyo dem kiziwi wa kwanza nahisi anaitwa emmy
Nilienda lodge huko Moro ndani Ndani Mikumi nakakuta kitanda Cha Zege.
Nili lala Kibishi Hadi asubuhi.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Natamani siku moja niende kwenye korido za lodge nianze kuropoka "Oyaa kila siku nakuambia shemeji sio muaminifu huamini..njoo ujionee Kwa sauti! Then nasepa..najua huku nyuma naacha kivumbi!
Eti pumbu zako ndefuDodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.
Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.
Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofiwa wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. Kuniuliza jina lake nikabwatuka Mary na demu kajibu jina lingine. Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale jamaa akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.
Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.
Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Kipindi hicho anazivuta kama zina spring. Kimoyo moyo naombq Mungu anitoe salama humo ndani.Eti pumbu zako ndefu