Mikasa/vituko vya lodge

Yuko jammaa yangu mchaga alimchukua demu pisi hasa ambàko lilikua limemzunguusha jamaa kwa kitambo kirefu. Basi siku ya siku jamaa akakubaliwa na kumpeleka bibie lodge.
Kufika ndani baada ya romance ya hapa na pale jamaa akamvua nguo mdada ambaye alikua amelowa huko chini barabara. Jamaa baada ya kuvua boxer abdalakichwawazi akagoma kusimama kwa miguu yake. Binti alijaribu kila mbinu kuuamsha abdala lkn wapi. Binti akaanza kumsema jamaa kwamba, kumbe wewe hanidhi kwanini unanipotezea muda. Binti huyo kavaa nguo zake na kuondoka akimuacha jamaa amejiinamia.
Jamaa baada ya kutoka pale kituo Cha kwanza Ni mtaa wa Sudan kwa wahaya kutest mtambo wake. Cha ajabu yule mhaya kupandisha sketi tu, (wahaya huwa hawavui nguo zote) abdala alikua amesimama imara tayari kwa mashambulizi ya puchi.
 
Mwaka 2015 nilikua mjini Kahama Mkoa wa Shinyanga.
Nilifikia Lodge moja ipo jirani na sana na iliyokua Mongo Hotel.
Nilikaa na mama chanja kama wiki 2 kwenye hiyo Lodge, mwenzangu akarudi Dar mimi nikabaki hapo maana nilikua bado nina kazi ya muda mrefu.
Hiyo siku mwenzangu anasafiri tuliamka asubuhi nikampeleka stendi akapanda basi na Mimi nikaenda kijijini kwenye mradi wangu halafu jioni nikarudi tena Lodge.(chumba kile kile)
Cha kushangaza sasa nimechukua ufunguo reception naingia room nikakuta nguo zangu zimefuliwa halafu zimepangwa vizuri kwenye kiti.
Nikajiuliza maswali mawili; Nani kamtuma huyu dada wa reception anifulie nguo?
Amejuaje kutenganisha nguo safi na chafu ? maana niliziweka pamoja.
NB: sikuwahi kua na mazoea nae zaidi ya salamu na kuchukua funguo.
 
Usikute wewe ni mwalimu unakula net pay 260,000 unataka kumtunishia misuli ya pesa mmiliki wa bodaboda anayeingiza 30,000 kila siku iendayo kwa Mungu
Usiongee bila uthibitisho mwalimu gani anaelipwa pesa uliyoitaja?

Mwalimu anaenza primary analipwa 18000×30=540000

Asa uyo anaelipwa hiyo pesa uliyoitaja ni mwalimu wa Mama ako au?

Msiwe mnakurupuka ficha ujinga wako
 
Jamaa alikurupuka, kupapatia game mwsho wa sku una haribu
 
Hili sitasahau. Miaka ya 2012 nilienda kakora nyangalata kwenye maeneo ya machimbo na gari la biashara/mizigo. Palikuwa pamechangamka sana hasa walevi na malaya.
Usiku huo huo nimelala kwenye gest ya ajabu, vyumba vimetenganishwa na majamvi na maturubai, jamaa anapiga show za fujo chumba cha pili. Mara wakaangukia partition yangu mazima wako uchi wa mnyama jamaa bado imo! Siwez kusahau!
 
Kwani ukisema ni wewe kuna shida gani?pole sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Usikute wewe ni mwalimu unakula net pay 260,000 unataka kumtunishia misuli ya pesa mmiliki wa bodaboda anayeingiza 30,000 kila siku iendayo kwa Mungu
Sijawahi kuajiriwa na serikali na sitegemei hivyo milele na hebu nikuambie hakuna mwalimu anaepata 260000 kwa mwezi bibie,na isitoshe hakuna bodaboda mwenye maisha mazuri kumzidi mwalimu muulize hata mume wako atakueleza
 
Ccy ccy ccy huyo ni jini mahaba achana nae
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙆
 
Ulikuwa kwa chunile nini.hawakukuwekea kinyole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…