Mikasa/vituko vya lodge

Kinyonge Sana kajamaaa hakajafaidi utamu
 
Mi nililewa nikaingia lodge mwezi wa pili mwaka huu na mhudumu mpya ndo amekaribishwa siku hiyo, mtoto mrembo sana. Nikaingia nikiwa nimelewa sijielewi, nakumbuka baada ya kumaliza gemu nilienda kuoga ili nisiende na mkosi nyumbani kwangu... Wakati naingia niliteleza kwenye tiles nikapiga kichwa mlango wa kioo wa bafuni ukavunjika. Nilienda nyumbani bila kujua kama nimeumia... Asubuhi wakati naamka nilikuta nimechomwa na vipande vya kioo kwenye mguu na kudaiwa kulipa mlango niliovunja. Nililipa ili taarifa zisienee
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu next time usijaribu kuoga huku ukiwa umetumia kilevi !

Mtu akilewa huwa anapoteza control ya baadhi ya mambo, Sasa unapoingia bafuni kujipaka sabuni na kuoga unaweza kuteleza na kuumia vby ama kifo kabisa, hasa ukidondokea kichwa ,,,,
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee![emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mamamaaaeee
 
Mbeya hyo

Nimepiga inshu zangu nimemaliza ikafika saa mbili hv nikasema wacha niende kulewa Kuna club moja hv huwa wanakesha wacha hz baa mbili maarufu karibu na mwanjelwa yaan hyo club n kama unaeelekea uyole ila unapita kabwe sasa nikasema wacha nichukue chumba karibu ili nikisikia Usingizi nipate sehemu ya kulala ebana nikaangukia kigesti Ila wao waliandika lodge nyuma ya hyo club.

Picha la kwanza maji ya Moto n jiko la mkaa na mbeya ilivyo na baridi nikaona haina shida nikaweka vitu vyangu nikamtania yule muhudumu kuwa nikikala napewa nn yeye akinijibu unataka nn Basi utan utan nikawa Kama nimemtania kumtaka mie nikatoka nikaenda kwenye Ile club nikanywa mpaka saa nane hv nilivyorud akanifungulia nikaingia nikampa utan nikaingia zangu kulala.

Muda ukapita kidogo nikaskia ngo ngo ngo kufungua yule dada aisee yupo na kitenge kimoja tuu eeeh nikasema Leo utan umenikost vibaya mno, Ila MUNGU huwa yupo upande wangu sana nikamwambia hamna kondom kumbe anazo aisee wacha tuu nikasema wacha nibambie tuu Ila sasa akawa hataki nimtoe kitenge ikiwa taa imewaka namie sababu nilikuwa sitaki kufanya nikawa nakomalia kumtoa taa ikiwaka sasa kumshikashika MUNGU saidia akalegea nikamtoa kanga aisee upaja wote unavile vikovu vya upele upele aisee nikasema nashukuru Sana hapa nilikuwa naenda kuumiza familia yangu mwenyewe aisee nikamzuga akalete chaja kwanza niweke simu isizime kesho na alipotoka tuu nikafunga mlango.

Asubuh naangalia kondom alizokuja nazo n 2pcs nikasema huyo alietumia moja MUNGU ampe nguvu mie huyo nikamwambia narudi kesho yake naenda Zambia.
 
Una roho ngumu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Popobawa hawakukupitia Kweli?.
 
Chifu umetisha sana
 
Tatzo Ni wewe ulianza kuonyesha interest nae akajaa mazima !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…