Mikasa/vituko vya lodge

Sasa ukiwa umesafiri peke yako utafanyaje?,Je,utatafuta Mwanaume wa kulala nae?.
 
Hiko kijiwe cha bodaboda kujiunga milioni nne kipo wapi bongo hii nataka kujiunga. Watakuwa wanasafirisha alien sio watu.
Na wanakuambia kuwa hiyo hela yako ukikaza ni ndani ya miezi miwili imerudi ukilegeza ni miezi mitatu hadi minne
 
Huyu asibishe mwalim hauwezi kumlinganisha na bodaboda mtumishi ni mtumishi tu ukitulia unatoboa kiulaini Mimi hapa ni mwalim nimeendesha boda miaka 2 jioni baada ya kazi mpaka Niti Kali Sasa naendesha tax mwaka, huku unapata pesa lakini matumizi ni makubwa ya kujihudumia na chombo Kwa hiyo maendeleo Kwa kutegemea boda au tax ni kidogo labda uwe unapiga madili tofauti huyo dada aheshimu kazi za watu maisha mazuri ni mipango ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…