Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Mi pia naogopa sana kulala Lodge mwenyewe niliwahi kulala Lodge asubuhi niwahi bus, usiku kama saa nane hivi nasikia mtu yupo busy anaingiza funguo na kuzungusha kitasa niliogopa, bahati nzuri nilifunga sikuchomoa funguo, nikapiga simu reception eti nikaambiwa ni mlinzi anakagua vyumba visivyo na watu mxyuuuuu saa nane usiku tena giza, yani huwa nawaza angefungua sijui nini kingetokea [emoji17][emoji17][emoji17] silali lodge peke angu tena
Sasa ukiwa umesafiri peke yako utafanyaje?,Je,utatafuta Mwanaume wa kulala nae?.
 
Hiko kijiwe cha bodaboda kujiunga milioni nne kipo wapi bongo hii nataka kujiunga. Watakuwa wanasafirisha alien sio watu.
Na wanakuambia kuwa hiyo hela yako ukikaza ni ndani ya miezi miwili imerudi ukilegeza ni miezi mitatu hadi minne
 
Usiongee nadharia tu waulize hao bodaboda hilo swali la kati ya kuwa walimu na kuwa bodaboda bora kipi? Niliwahi kuishi kijiji fulani hivi nikazoeana na mwalimu mmoja wa sekondar ni mpambanaji sana ana ng'ombe kama 20,ana canter,shamba la mikorosho kama heka 15 na ukisikia mtu anashamba heka 15 huyo mapato sio ya msimu ya korosho sio ya kitoto ila bado anafundisha mbali na kuwa na vyote hivyo
Huyu asibishe mwalim hauwezi kumlinganisha na bodaboda mtumishi ni mtumishi tu ukitulia unatoboa kiulaini Mimi hapa ni mwalim nimeendesha boda miaka 2 jioni baada ya kazi mpaka Niti Kali Sasa naendesha tax mwaka, huku unapata pesa lakini matumizi ni makubwa ya kujihudumia na chombo Kwa hiyo maendeleo Kwa kutegemea boda au tax ni kidogo labda uwe unapiga madili tofauti huyo dada aheshimu kazi za watu maisha mazuri ni mipango ya mtu.
 
Back
Top Bottom