Mikasa/vituko vya lodge

[emoji2][emoji1][emoji2][emoji1] interesting ikawaje mkuu malizia story
 
Nyahonge iko mkoa gani mkuu
Ipo wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza....Ukiwa unatoka mwanza mjini kwenda Shinyanga ukifika eneo la mwanangwa kuna kona kulia unaenda misasi baada ya misasi kuna kona mbele kushoto (Kuna bango la Us Aid) unaenda na hilo barabara unafika nyahonge....ila pia unaweza pita hungumalwa ukafika kwa urahisi
 
Roho mbaya hiyo ,ungemwacha jamaa achukue ujuzi au ulikuwa unapiga kichovu
 
Kuna guest sitokukuja kusahau maishani inaitwa riverside kama sijasahau around 2011 nililala chumba ni 3,000 per day ila kuanzia saa nne. Ipo kijenge juu inakaribiana na Mto.

Ni guest ya Mbao na bar mbele yake. Pata picha unalala guest ukuta ni Mbao na room ya pili kuna mgegedo. Yani pata picha tu. Yani ni guest ya wahuni na watu wanaoishi karibu na guest ni wahuni na wababe kinoma. Wahudumu wote wana makovu ya nyembe usoni Au shingoni. Haya maisha haya ……
Mnaoishi kijenge juu hiyo guest bado ipo? Uzuri bar yake kulikuwa na reggae nzuri sana na other music….
 
[emoji851][emoji851]mkuu hukuwa na option nyingine ? Mm kabla sijalipia lodge/hotel lazima nimuambie mhudumu anionyeshe chumba kwanza nijiridhishe ,,,,
 
😅😅😅🤣🤣 Unazingua boss wangu umenifanya nicheke achaa
 
🤣🤣🤣
 
Huko dunia ndio mfumo ulivyo
 
Ukifuatlia baadhi ya mikasa unaona bora uandike jina la uongo mingine inakushawishi uandike jina la halisi basi tafrani, imagine umeandika jina halisi halafu demu kazima?
Inakuaje ukuandika jina halisi na demu kazima na wakakupata?

Ajali haina kinga, ni vyema ukiandika ukweli unaweza kujitetea ila uwongo utakuweka matatani zaidi...usipuuze ya wahenga "ukweli utakuweka huru"

Mimi naandikaga majina yangu yote matatu kwa usahihi,ninapotoka,ninapokwenda hadi namba za simu...liwalo na liwe
 
Anaweza asilale na akafa pia mkuu...!

Enzi flani natoka na kabinti mtaa wa tatu kisirisiri, kumbe ana pumu na mimi sijui na wala sijawahi ona mtu akiugua pumu inakuaje.

Tuko lodge pembeni ya mji si ikampanda....sijui nimsaidiaje na pesa sikua nayo hapo ni kula kulala.
Usiombe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…