Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]

nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.

Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,

Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.

nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni

Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
[emoji2][emoji1][emoji2][emoji1] interesting ikawaje mkuu malizia story
 
Nyahonge iko mkoa gani mkuu
Ipo wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza....Ukiwa unatoka mwanza mjini kwenda Shinyanga ukifika eneo la mwanangwa kuna kona kulia unaenda misasi baada ya misasi kuna kona mbele kushoto (Kuna bango la Us Aid) unaenda na hilo barabara unafika nyahonge....ila pia unaweza pita hungumalwa ukafika kwa urahisi
 
Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]

nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.

Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,

Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.

nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni

Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
Roho mbaya hiyo ,ungemwacha jamaa achukue ujuzi au ulikuwa unapiga kichovu
 
Kuna guest sitokukuja kusahau maishani inaitwa riverside kama sijasahau around 2011 nililala chumba ni 3,000 per day ila kuanzia saa nne. Ipo kijenge juu inakaribiana na Mto.

Ni guest ya Mbao na bar mbele yake. Pata picha unalala guest ukuta ni Mbao na room ya pili kuna mgegedo. Yani pata picha tu. Yani ni guest ya wahuni na watu wanaoishi karibu na guest ni wahuni na wababe kinoma. Wahudumu wote wana makovu ya nyembe usoni Au shingoni. Haya maisha haya ……
Mnaoishi kijenge juu hiyo guest bado ipo? Uzuri bar yake kulikuwa na reggae nzuri sana na other music….
 
Kuna guest sitokukuja kusahau maishani inaitwa riverside kama sijasahau around 2011 nililala chumba ni 3,000 per day ila kuanzia saa nne. Ipo kijenge juu inakaribiana na Mto. Ni guest ya Mbao na bar mbele yake. Pata picha unalala guest ukuta ni Mbao na room ya pili kuna mgegedo. Yani pata picha tu. Yani ni guest ya wahuni na watu wanaoishi karibu na guest ni wahuni na wababe kinoma. Wahudumu wote wana makovu ya nyembe usoni Au shingoni. Haya maisha haya ……
Mnaoishi kijenge juu hiyo guest bado ipo? Uzuri bar yake kulikuwa na reggae nzuri sana na other music….
[emoji851][emoji851]mkuu hukuwa na option nyingine ? Mm kabla sijalipia lodge/hotel lazima nimuambie mhudumu anionyeshe chumba kwanza nijiridhishe ,,,,
 
Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.

Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa 😬
😅😅😅🤣🤣 Unazingua boss wangu umenifanya nicheke achaa

🤣🤣🤣
 
Tulienda ukerewe 2018 kwenye ishu flan kama group hv,bahati mbaya siku tuliyofika kulikuwa na ziara ya uncle Magu, lodge na guest zote kwa pale mjin zilikuwa zimejaa, zunguka kila sehemu holaa, baadae kabisa tukapata moja inaonekana ya muda mrefu sana, kuulizia bei elfu 3, ikabidi tulipie kibishi tu tukalala room moja watu watatu muhudumu alitutafutia na godoro tukaweka chini ili tutoshe,toilet ni ya nje, mlango wa kuhamisha, ukiingia unauegesha mlangon ukimaliza unauweka pembeni... Nyingine ni Arusha, lodge inaangaliana na hospital ya selian ile ya pale town, ipo classic kabisa ina had cctv, walinishangaza tu nimeuliza bei wakaniambia ukilala mwenyewe 40k, ukilala na mtu 50k, sijawah kuikuta sehemu zote nilizotembea hyo...
Huko dunia ndio mfumo ulivyo
 
Ukifuatlia baadhi ya mikasa unaona bora uandike jina la uongo mingine inakushawishi uandike jina la halisi basi tafrani, imagine umeandika jina halisi halafu demu kazima?
Inakuaje ukuandika jina halisi na demu kazima na wakakupata?

Ajali haina kinga, ni vyema ukiandika ukweli unaweza kujitetea ila uwongo utakuweka matatani zaidi...usipuuze ya wahenga "ukweli utakuweka huru"

Mimi naandikaga majina yangu yote matatu kwa usahihi,ninapotoka,ninapokwenda hadi namba za simu...liwalo na liwe
 
Dah,,,, akizima Ni hatari Sana ! Mm naona kuandika jina halisi may be umesafiri kikazi, upo mkoa tofauti na unaoishi ! Na ikitokea umeopoa make sure humlazi humo mpk asbh,,,, ukishajijazia minyama mtoe usiku huo huo !

Ila zile umeenda kupasha tu na kurudi around huo huo mkoa unaoishi usiandike majina halisi,,, alafu kwa nn ulale nae Hadi asbh ? Piga pita hivi sio mkeo huyo !
Anaweza asilale na akafa pia mkuu...!

Enzi flani natoka na kabinti mtaa wa tatu kisirisiri, kumbe ana pumu na mimi sijui na wala sijawahi ona mtu akiugua pumu inakuaje.

Tuko lodge pembeni ya mji si ikampanda....sijui nimsaidiaje na pesa sikua nayo hapo ni kula kulala.
Usiombe
 
Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]

nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.

Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,

Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.

nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni

Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
Back
Top Bottom