Mikasa/vituko vya lodge

Duh jau sn [emoji23] Ila imewahi ntokea nlipiga mechi na manzi akapandsha mapepo katkat ya show nilichofanya ni kumziba mdomo kwa khanga yke nkaendelea kumla uroda mpk alizimia akaja kushtuka masaa wawili mbele, kilivhofuata baada ya kushtuka alianza kulia nikapata kibarua cha kubembeleza mtoto wa watu mwsho wa cku nikapewa tena utamu mpk morning tukasepa haooo
 
Ulicheza mission ya htr sn mkuu [emoji23][emoji23]
 
We ni mpuuzi sana, wahudumu Hawa wameajiriwa, na wengine Kila anapouza chumba anatoa ripoti kwa bosi wake, akikurudishia pesa unategemea bosi wake atamuelewa vipi?



Shenzi
 
We ni mpuuzi sana, wahudumu Hawa wameajiriwa, na wengine Kila anapouza chumba anatoa ripoti kwa bosi wake, akikurudishia pesa unategemea bosi wake atamuelewa vipi?



Shenzi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] daaah
 
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Dah.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo humu ume "copy na kupaste" aibu hii dogo.
 
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Dah.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah hatari sanaa
 
Kigambon, Nliend guest na manzi flan hiv sas muhudum akatukabidhish chumb fresh wakat tupo ndan dakik chach hatujaanz mizagamuano , Mlang ukagongw akaj yul dad muhudum nikatok nikamuuliz shid nn ananiambia naomb unisaidie kudownload nyimbo ananip simu yako ,Manz yang ikanisanua ikaniambia niachan nae aliniambia kun ki2 kilikuw kiendelee mm nikaachan na yul dad sas sijui mpk leo ni nn kilikuw kinatak kuendeleaa[emoji16][emoji16]
 
Labda alitaka kukusanua kwamba demu wako kimeo
 
Miaka hiyo nikiwa kijana Nishaitaga dem nikatangulia room hakuja,nikajikaza kisabuni nikaharibu kugongoza muhudumu wa lodge bwana,si akakubali aiseee. Nilipiga show.next time nikajitoa ufaham nikaenda na dem mwingine akaniambia room zimejaa.
Wivu[emoji23][emoji23]

Hila wahudumu wanachapika[emoji3]
 
Jamani,khaa!
 
Huu uzi nimecheka sana. Hii dunia kuna mambo yanaendelea mengi sana....
Nimegundua
- Logde nyingi au guest house hawazingatii usafi
-Ligha nzuri kwa wahudumu na wateja bado ni changamoto, wote wababe
- Ngono inatembezwa balaa
-Wengi tunasahau kwamba hao wahudumu wana familia zinawategemea
-Muda wa kutoka mteja bado ni changamoto haijalishi kaingia saa ngapi
-Privacy kwa baadhi ya hizo nyumba ni changamoto ( hata polisi hawazingatii hilo)
-Taarifa nyingi zinazoandikwa kwenye vitabu vya wageni ni za uongo ( hapa mtu huwa ana sababu zake)
- Baadhi ya wateja siyo wastaatabu
*Mimi huwa nakutana na hili mara nyingi. Unakwenda logde unaambiwa mfano bei ya vyumba ni 30k na 20k. Ila utaambiwa vya 20k vimeisha, vimebaki vya 30k. Lakini ukikomaa, unalipa hiyo 20k. Nadhani huwa kuna ka- udanganyifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…