Mikasa/vituko vya lodge

Hii ya mwisho lengo ni ku maximize profits kwa kuuza kwanza vya bei ya juu
 
Guest moja misigiri...Enzi za barabara ya vumbi,......hakuna ceiling board.....jamaa,anamkaza mwanamke....vyumba vyote twasikia miguno na vilio vya mahaba.....
Chumba 1...jamani mnatuumiza hukuu.😁
Chumba2..kaka sio huku ni chumba kinachofuata😁
Chumba 3...sio mimi ndugu zangu,ngoja nitoke nje....😁😆😁
Mara watu kibao tupo nje....wengine wamekwenda kugonga mlango....jamani punguzeni kelele......🤪🤪🤪😝
Ndio kwanza wakaongeza balaa...
Kila mtu aka apa lazima usubuhi amuone huyo mwanamke.....na wengine,waka apa lazima wamle manake alikuwa akilia uzuri..😛😛🥰🥰🥰
 
Mkuu, sasa huyo mwananke ulimuona?
 
We Cee una balaa🤣😂😂😂
 
Hapo Shinyanga ukulala zile Guest maeneo ya Stand ya Zamani.Kuna moja niling'atwa na Kunguni sitakaa nisahau.Asubui yake niliaama.Nilijua kitanda kina tumemde ebwanee kumbe kunguni.
 
Mwaka 2014 nililala lodge Fulani maeneo ya kirumba mwaloni Mwanza inaitwa ziwani night club.Lengo la kulala pale ilikuwa niamke kesho yake alfajiri nipande meli nielekee kisiwa cha Kome mchangani Kwa Mzee aliyekuwa anashughulika na uvuvi.Sijui Ile ni ni lodge,danguro au casino bubu maana kuna partions Fulani madirisha yake yapo chini halafu vioo Kila ukitoka sehemu Moja kwenda nyingine watu wanazagamuana na vilio juu.Maeneo mengine watu wanacheza utupu kama walivyozaliwa.Ni sehemu ndogo watu walikuwa wanakunywa pombe tu kistaarabu.Kila nikienda kulala usingizi unakata,naanza kusoma gazeti la Mwanaspoti.Asee Kuna muda nilitoka na kupiga chabo dirisha Moja hivi kuna jimama mmoja ananyony mb** kumbe ni mke wa mtu,Kisha anapigwa Kwa dog style.(Nitaeleza nilijuaje ni mke wa mtu)Mida ya saa Tisa usiku lodge ikavamiwa na maaskari tukakusanywa pamoja nilichokifanya ni kutoka kitambulisho cha shule(wakati huo nilikuwa form three)nikaruhusiwa kurudi kulala.Yule mwanamke nilimuona analia na kuwapigia magoti askari wamsamehe,maana mmewe akijua ndoa imekwisha.Sijui kilichoendelea maana walipandishwa karandinga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niliwahi lala Guest ya aina hiyo Morogoro nikiwa mwanachuo tukadakwa, pamoja na kutoa kitambulisho mandata walikula ten yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ulifanikiwa kumuona??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…