Mikasa/vituko vya lodge

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yawezekana alitaka kukwambia kua huyo demu ana ngoma,ikitokea condom zimeisha,usijidanganye kupiga peku,demu wako alivyoona unataka kusanuliwa na mhudumu,akajifanya kukwambia kua 'kuna kitu kinaendelea',ili ushtuke kua huyo mhudumu siyo mwema kwako.Kaa ki-master BOB...
 
Nimecheka sana ayseee
 
Hii noma sanaa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nje na ajira inayoniweka mjini huwa nalima pia! Mwaka jana nilienda mkoa X ili kuwahi mashamba, ulikuwa ndio msimu wa kuandaa mashamba! Nikafika huo mkoa.,, ndan ndan huko wilayani kijjn kabisa,,, mashamba ilikuwa bei poa., 30k kwa heka moja ! Nikafika jion jion mida ya saa 1, hilo eneo kuna kijisenta au tuite kamji uchwara hapo ndo raia na wananchi hupata huduma muhimu ! Kwa uchovu wa safari sikuona haja ya kumsumbua mwenyeji wangu ,,,, nikasema ngoja nitafute chakula then nikachukue room somewhere nipumzike kesho yake nitamcheki mwenyeji wangu ! Nikaelekezwa, hio Lodge ipo hapo hapo sent tu ni umbali kama wa mita 70 au 100 ! Ee bwana, kwanza hiio Lodge ipo moja tu, haijafanyiwa finishing vizuri, madirishani kuna grills alafu kwa nje kumepigiliwa mifuko flan ya nailoni! Dah kuuliza bei naambiwa buku 5, room godoro lipo chini, kuna kijishuka na box empty pembeni , naona ndo dustbin ! Kuna taa mwanga hafifu ya solar, hamna hata switch naona zinawashwa kwa mkupuo ! Kwenye bag nilikuwa na shuka la kimasai, nikalala kibishi,,, choo cha ndan public hakikua kimekamikika kwa hio choo ni nje,,,,! Kumbe hilo eneo huwa kuna minada, siku niliyofika kumbe kesho yake mnada, vyumba vya jiran yangu kulikuwa na wafanyabiashara kibao nawasikia wanaongea kwa sauti wengine wanalewa, ke kwa me ! Mara wagongane full purukushani, sikulala kabisa! Nyumba haikuwa na singboard, tembea uone ! kesho yake tu baada ya kufanya kilichonipeleka na kuweka utaratibu sawa nikasepa nisingeweza kukaa tena kule!
 
Nilingiaga gest moja Arusha pale karibu nastendi kunasoko cjui ndokilombelo ..bhs Nika mpigia Dem mmoja akaja kipindi hiko Tungi lipo kichwani miksa mjan ..bhs nikamkuta mama anafagia fagia nikamshikisha 10 , nikamwacha Dem,,ndan nikaenda kumchukulia chps nikapga value ndogo kurudi chumba nimekisahau nikaanza kufungua rum moja baada nyingine kama askari, nikakutana rumu moja wahuni wawili Wana mfukua Dem moja nikaenda rum nyingine nikakuta wamasai wamelala uchi mikundu imepauka kama mihogo ya kuichoma..nikafungua room nyingine nakuta mama na mbaba wamelaliana uch usingizi..nikaongia room yangu nikamkuta Dem wangu Nika mvamia na mipombe yangu nilimsugua mpaka yule mama akaja kugonga..nikaona dharau hz Nika ahusha godoro sakafuni Nika pindua kitanda makusudi nili ginga ile mama ..nikaavuruga vitu ngoja balbu makusudi tu ..tukaondoka na Dem nikajiuliza huyu mama akija kufanya usafi atajiuliza hapa kilikuwa niuwanja wa vita ama nn ..Toka siku hyo mpaka Leo cjawah enda gest yoyote
 
JuIzi kati mwaka mpya nimeenda Arusha, nimechukua room pahala, bei ilikuwa 45,,, ni hotel ya kawaida tu sema wana bei sana sijui shida nini au ndo mji wa kitalii ! Kufika room mwenzangu akaenda kujimwagia, yeye ndo mwenyeji wangu kwa hio hali ya hewa ameizoea,,, Nikaingia mimi kuoga, dah kumbe maji ya moto hayatoki , nadhan mfumo ulikuwa mmbovu, reception wakati nasainishwa hiki kipengele niliuliza, ! Nikaenda kumvaa yule dada mbona maji moto hamna na mmetaka hela nyingi ? Ooh saamahani sijui bla bla kibao, nikamwambia nibadilishe room akagoma, basi rudisha hela kiasi napo akagoma, nikawa mkali hadi akamuita mlinzi ! wapuuzi wale, wakanirudishia 15 !
 
Hahahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Mkuu nimecheka mpk nimepaliwaaa

Hii sio chai mkuu? Aiseee you made my day bro
 
Chai nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…