Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Kuna siku nkawa nmeenda sehem bhn, nikafikia nyumba ya kulala wagen

M nlifika mida ya Saa tisa nkawa nmechoka sikukagua chochote alafu nlikua peke yangu nkajilaza tu [emoji1]

Kushtuka hivi mto nlokua nmelalia n mchafu kuangalia n shuka hvyo hvyo nkashindwa vumilia nkamuita mhudumu, akabadilisha lkn alilalamika usiku mzm kwamba m ndo nmechafua ,kwa madai yake asubuh alibadilisha Kila kitu,

Alikua mama mtu mzima alilalamika sana, nmemuelewesha haelewi paka akawahadithia wenzie, asubuh mapema nkasepa zangu
Pole,,, next time kagua kwanza ! Mm kabla ya kulipa namuomba mhudumu nikione chumba kwanza, nikiridhia tunarudi reception kulipia,,,, !!!!!
 
Ngoja nami nishushe visa vyangu

Kuna siku nlikua nmetoka zangu Dom nlipanda magari ya jioni nkaona sotofika home sikuhyo nkaomba mtu anichukulie chumba

Saangapi asinichukulie chumba kilichopo karibu n stand duh, nlifika Saa Saba jaman sikulala ni kunguni tu zlikua znatembea kitandan ikabidi niamke nkae kwenye kiti[emoji17] paka kuche
Guest za bei chee zna kunguni sana
 
Siku moja hvi nilitua wilaya moja ivi boda kanipeleka, kuulizia naambiwa room 5k, nilighairi ! Bei tu unajua chumba hakina quality,,,,! Japo ndani ndani huko hakuna zenye quality lakn Bora yenye uafadhali
5k ata usalama ni mtihani😅
 
Nina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.

1. Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala

2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke

3. Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti, alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa

4. Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.

5. Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.

6. Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7. Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana
 
Sijui out of topic ila acha niandike labda inaweza kumsaidia somebody. Unapoenda kulala iwe ni lodge, hotel au guest kama sio kwa kufanya matusi basi jitahidi uwe unapaombea.

Kuna siku nilienda moro kikazi..nikalala kwenye lodge pale mjini. Katikati ya usiku nikashangaa nimepata huzuni sana...najiuliza kwani vipi mbona sielewi. Nikasikia sauti ombea kitanda. Ombea mashuka mpaka mito...kuna roho ya huzun imeachiliwa hapa na aliyetoka kulala hapa.

Nikajikuta nasali sana na ndo nikapata amani na kulala. Na kesho yake nikaamka fresh nina amani moyoni. Sasa huwez jua alietoka kulala hapo nani..na ana maroho gani(evil spirits). We hujawahi ona unakutana na mtu asubuhi unaenda kwenye rizki na ana nuksi zake afu ukainteract nae hata kukupa mkono. Unajikuta siku haiend mzee. Pray for the beds mnazolalia...neno langu sio sheria anyways unaweza amin unachotaka pia. Be blessed
 
Sijui out of topic ila acha niandike labda inaweza kumsaidia somebody. Unapoenda kulala iwe ni lodge, hotel au guest kama sio kwa kufanya matusi basi jitahidi uwe unapaombea.

Kuna siku nilienda moro kikazi..nikalala kwenye lodge pale mjini. Katikati ya usiku nikashangaa nimepata huzuni sana...najiuliza kwani vipi mbona sielewi. Nikasikia sauti ombea kitanda. Ombea mashuka mpaka mito...kuna roho ya huzun imeachiliwa hapa na aliyetoka kulala hapa.

Nikajikuta nasali sana na ndo nikapata amani na kulala. Na kesho yake nikaamka fresh nina amani moyoni. Sasa huwez jua alietoka kulala hapo nani..na ana maroho gani(evil spirits). We hujawahi ona unakutana na mtu asubuhi unaenda kwenye rizki na ana nuksi zake afu ukainteract nae hata kukupa mkono. Unajikuta siku haiend mzee. Pray for the beds mnazolalia...neno langu sio sheria anyways unaweza amin unachotaka pia. Be blessed
Asante mtumishi Hakika umeeleweka
 
Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.

Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa [emoji51]
WE MPUUZI UMENIFANYA NICHEKE KAMA CHIZI MKUU DAH SIPATI PICHA ILIVYOKUWA KWA MPITAJI ENEO HILO[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.

Dah, nimecheka sana kisa hiki, hadi nimeonekana mtambo sasa kwa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Natamani siku moja niende kwenye korido za lodge nianze kuropoka "Oyaa kila siku nakuambia shemeji sio muaminifu huamini..njoo ujionee Kwa sauti! Then nasepa..najua huku nyuma naacha kivumbi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unabalaa
 
Mi maajabu niliyokutana nayo nilienda morogoro karibu na shule ya msingi kikundi nikakuta lodge zote zimejaa. Kwa taabu nikabahatisha chumba cha buku 8 kwenye corner pale karibu na transist inn, chumba ambacho sikukipenda.

Mwisho wa siku kile chumba nilimkuta jamaa bar ndio anafika amechoka na safari walikuwa na semina, nikamuuzia chumba kwa 19,000 mi nikakesha bar mpaka morning.
 
Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.

Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.

Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.

Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23] duh mkuu hii ni kali kuliko
 
WE MPUUZI UMENIFANYA NICHEKE KAMA CHIZI MKUU DAH SIPATI PICHA ILIVYOKUWA KWA MPITAJI ENEO HILO[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu genye mbay sana. Kwanza sikulala usiku kucha usingizi wa wenge. Sasa saa 12 na nusu Niko guest already. Demu kumbe kwao hawezi toka mpaka apike chai, aoshe vyombo na afanye usafi. Mie nimewahi kishenzi 🤣🤣
Ule usingizi wa usiku ukanipitia asubuhi Ile .

Kwanza hata alivyokuja Ile mechi ilikuw mbovu, Kila nikipiga Tako wazungu hao. Sema Usiku sikulala vizuri na demu wangu alikuwa muelewa sana mzungu kifupi😊
 
Back
Top Bottom