Kilichofuata ... Endelea sasa tumetega masikioMwaka 2015 nilikua mjini Kahama Mkoa wa Shinyanga.
Nilifikia Lodge moja ipo jirani na sana na iliyokua Mongo Hotel.
Nilikaa na mama chanja kama wiki 2 kwenye hiyo Lodge, mwenzangu akarudi Dar mimi nikabaki hapo maana nilikua bado nina kazi ya muda mrefu.
Hiyo siku mwenzangu anasafiri tuliamka asubuhi nikampeleka stendi akapanda basi na Mimi nikaenda kijijini kwenye mradi wangu halafu jioni nikarudi tena Lodge.(chumba kile kile)
Cha kushangaza sasa nimechukua ufunguo reception naingia room nikakuta nguo zangu zimefuliwa halafu zimepangwa vizuri kwenye kiti.
Nikajiuliza maswali mawili; Nani kamtuma huyu dada wa reception anifulie nguo?
Amejuaje kutenganisha nguo safi na chafu ? maana niliziweka pamoja.
NB: sikuwahi kua na mazoea nae zaidi ya salamu na kuchukua funguo.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app