loved girl
Member
- Jan 29, 2022
- 74
- 89
Ujanja wote ukamuisha[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujanja wote ukamuisha[emoji38]
Game ilikuwa imepaniwa Sana au Ni uchakavu wa kitandaMorogoro nimesha wahi lala Lodge flani asubuhi nakutana na wahudumu wanashangaa wateja walio kuwa wameingia kupeana raha wamevunja tendego la kitanda kilicho tengenezwa kwa mti wa mninga.... It was amazing for sure.... [emoji1787]
Kosa ulishafanyaNilishawai kugawa namba ya manzi niliekutana nae club njombe. Niligawa kwa mfanyakazi mwenzangu basi jamaa kampigia simu manzi akaja logde akamtafuna usiku kucha. Ile asubui natoka nikakutana manzi reception aroooo kumbe ni mzuri. Sikufanya makosa tena nikarudi na room kwangu nikaenda kupiga cha asubui [emoji23][emoji23].
[emoji1787].... Raha sanaGame ilikuwa imepaniwa Sana au Ni uchakavu wa kitanda
BundesligaGame ilikuwa imepaniwa Sana au Ni uchakavu wa kitanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeshindwa kuvumiliaDodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.
Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.
Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.
Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.
Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.
Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.
Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.
Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.
Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.
Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
HakikaBundesliga
Toa ushuhuda wako bidada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeshindwa kuvumilia
Play safe play fairDaaaah kazi kweli kweli hapa nipo Lodge kahama nimemmaliza tayari mhudumu mkali saa hivi namsubiri aliyenifanya nije kuchukua chumba humu
Kigamboni vipo vingi tu kwenye nyumba za makaziKitanda kama kaburi [emoji2][emoji2]
Lodge inaitwaje hapo kahama angalia usije ungua kama ni katikati hapo kahamaDaaaah kazi kweli kweli hapa nipo Lodge kahama nimemmaliza tayari mhudumu mkali saa hivi namsubiri aliyenifanya nije kuchukua chumba humu
Ni vema kuandika jina halisi maana inaweza kutokea msala,ktk kutatua maafisa usalama wakigundua kuwa uliandika jina la uongo wanaweza kukuhifadhi Kwa uchunguzi zaidiMkiendaga huko lodge kwenye kitabu mnaandikaga majina yenu halisi au mnaongopa??
Nimetoka mtupu sijaelewa mkuuDaaaah kazi kweli kweli hapa nipo Lodge kahama nimemmaliza tayari mhudumu mkali saa hivi namsubiri aliyenifanya nije kuchukua chumba humu
Tuanze na wewe,,,unaandika mAjina halisi ?Mkiendaga huko lodge kwenye kitabu mnaandikaga majina yenu halisi au mnaongopa??
Ukifuatlia baadhi ya mikasa unaona bora uandike jina la uongo mingine inakushawishi uandike jina la halisi basi tafrani, imagine umeandika jina halisi halafu demu kazima?Liwalo na Liwe. Siandikagi Jina langu hata siku moja
Dah,,,, akizima Ni hatari Sana ! Mm naona kuandika jina halisi may be umesafiri kikazi, upo mkoa tofauti na unaoishi ! Na ikitokea umeopoa make sure humlazi humo mpk asbh,,,, ukishajijazia minyama mtoe usiku huo huo !Ukifuatlia baadhi ya mikasa unaona bora uandike jina la uongo mingine inakushawishi uandike jina la halisi basi tafrani, imagine umeandika jina halisi halafu demu kazima?