Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.

Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.

Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.

Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.

Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).

Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dem kiziwi noma sana dah!
 
Ukifuatlia baadhi ya mikasa unaona bora uandike jina la uongo mingine inakushawishi uandike jina la halisi basi tafrani, imagine umeandika jina halisi halafu demu kazima?
Kwahiyo akizima unamkimbia??
 
Ubaki ufanye nini? Anyway now naandika jina langu halisi kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaweza usiandike kabisa,kwani mtanyimwa room?
 
Ubaki ufanye nini? Anyway now naandika jina langu halisi kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaweza usiandike kabisa,kwani mtanyimwa room?
 
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.

Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.

Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.

Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.

Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).

Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Yesu wangu nimecheka hapo kwenye kiziwi🤣🤣🤣🤣🤣,wanaume mna kazi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwaka 2012 niliwahi enda gest maeneo ya kwa msugur na jimaa flan mmewe dereva wa masafa marefu jimaa la maana wkati nakula mzigo tukajikuta tupo chini tumeshuka na chaga sitasahau pale kwa msugur karbu na bochi lile zigo ikawa nalilia kwenye majumba mabov
 
Ulienda na zigo la kuvunja chaga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Msoma ilikiwa 2013 nimeshuka usiku kama saa 6 hivi kutafuta lodge nyingi zimejaa, nikabahatisha moja nikalipia naingia kumbe choo kimejaa mzigo unafulimia juu daah nilikunya mtaloni siku hiyo stasahahu.
 
Back
Top Bottom