Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Igunga 2000s
Nilipata lodge moja mpya mpya hivi. Siku ya pili nikampa mistari muhudumu akanielewa ila akaniambia nihame lodge ili aje kulala kwa uhuru. Nikahama ila jioni nikaenda pale kwake kupata msosi.

Sasa pale alikaa na jamaa pembeni kila akihudumia anarudi pale. Nimamtext vipi akajibu jamaa anamsumbua sana na pia ni polisi .

Usiku akaja lodge kwangu nikala mzigo tukalala. Usiku saa 6 nasikia sauti kwenye korido kumbe askari wanakagua wageni. Demu akanitonya amesikia sauti ya yule jamaa anayemsumbua kwa hiyo nijiaandae kwa lolote. Ikafika zamu yangu jamaa wakakomaa sikuandika kwenye daftari halafu niliyelala naye aamke naye ahojiwe....Hakuna namna ikabidi aamke. Yule askari akamtambua yule demu, akaweka ngumu nikalale kituoni kwa kosa la kutoandika kwenye daftari la wageni. Wakanitoa nje demu akabaki ndani.

Nikaona nikileta masihara nitalala polisi.Nilikuwa nafahamiana na DC. Usiku ule nikampigia akaongea na askari wakaniacha. Yule askari akaniweka pembeni akaniuliza kama namkumbuka? Nikamjibu ndio. Akaniambia hongera,yaani yule demu nimemtongoza wiki nzima simpati leo wewe unakula kizembe tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Igunga 2000s
Nilipata lodge moja mpya mpya hivi. Siku ya pili nikampa mistari muhudumu akanielewa ila akaniambia nihame lodge ili aje kulala kwa uhuru. Nikahama ila jioni nikaenda pale kwake kupata msosi.

Sasa pale alikaa na jamaa pembeni kila akihudumia anarudi pale. Nimamtext vipi akajibu jamaa anamsumbua sana na pia ni polisi .

Usiku akaja lodge kwangu nikala mzigo tukalala. Usiku saa 6 nasikia sauti kwenye korido kumbe askari wanakagua wageni. Demu akanitonya amesikia sauti ya yule jamaa anayemsumbua kwa hiyo nijiaandae kwa lolote. Ikafika zamu yangu jamaa wakakomaa sikuandika kwenye daftari halafu niliyelala naye aamke naye ahojiwe....Hakuna namna ikabidi aamke. Yule askari akamtambua yule demu, akaweka ngumu nikalale kituoni kwa kosa la kutoandika kwenye daftari la wageni. Wakanitoa nje demu akabaki ndani.

Nikaona nikileta masihara nitalala polisi.Nilikuwa nafahamiana na DC. Usiku ule nikampigia akaongea na askari wakaniacha. Yule askari akaniweka pembeni akaniuliza kama namkumbuka? Nikamjibu ndio. Akaniambia hongera,yaani yule demu nimemtongoza wiki nzima simpati leo wewe unakula kizembe tu.
Hapo ulipoambiwa jiandae kwa lolote ulijisikiaje mkuu,,,, [emoji2]
 
Option ipi mkuu,,,, ! Ni kwenda hotels/lodge standards wanazofua na machine pia wanatumia madawa !!! Sasa kwa wanaosafiri safiri wilayani huko lodge Ni za kawaida Sana inakuwaje ? Mwanamke awe na kikoi chake ,,,, Kama Ni me walau uwe na shuka la kimasai ,,,,,,

VP mazingira ya mjini,,,, I mean hujasafiri, lakini kwa Namna moja ama nyingine umelazimika kwenda lodge/hotel,, ,, ?? Inakuwaje?
Kuna kipindi nilifanya kazi iliyonifanya nisafiri karibu wilaya 50 za Tanzania. Hapa ndio nilijifunza usafi na uchafu wa lodge.

Maeneo yenye baridi sana kama makete,njombe,mafinga,mbeya,iringa na nk usafir huwa duni sana msimu wa baridi. So hapo nilijifunza kama napack begi chakwanza taulo, shuka, mswaki, dawa ya meno, shuka la kimasai ndio zinafuata nguo na vingne.
 
Kama wahudumu wote wangekuwa Kama huyu wa lodge ya Moro town namini mambukizi ya VVU yangekuwa chini Sana,nimemshukuru Sana huyu mama na ela ya supu asubuhi nimempa,lodge iko nyuma ya stend hata sikuwa nimekalili jina,huyu mama kwangu ni shujaa kwenda kumaliza mwaka 2022,
Nimefika midaa ya saa 12jioni nikapata chumba na kuweka mizigo nikaoga lengo kunyosha miguu,midaa ya saa nne ivi narudi na mwenyeji wangu nimepata Baar flani karibu na mzunguko huku,basi bana naona nimeenda kuafuata funguo Kama anakigugumizi flani japo nilikuwa maji lakini macho yake yalinishawishi kuoji kitu,nikampeleka mchumba chumbani hata nusaa haijapita mlango unagongwa kufungua muhudumu,ananipa taulo namuambia ninalo,lakini wakti anatoka Kama anataka kuniambia kitu lakini anasita,sikumjali Sana,basi Niko na mchumba tunalizia kinywaji na stori za hapa na pale mida Kama saa Tano ivi usiku,mlango unagongwa kutoka ni yeye muhudumu vipi mama,ananita kwa jina naisi alikalili kwenye kitabu,ananiambia Kuna mgeni amekuja kauta kuniulizia anaitwa Shelby,yukoje ananipa sifa nikikumbuka Moro sina mtu namjua Yuko ivyo basi nikamuambia nakuja ngoja nivae suruali maana nilikuwa na bukta kwajili ya mandalizi ya mtanange Tena akasisita nisichelewe.basi bana kufika kauta nimevutwa pembeni kabsa na nasaa Kama zote na kuniambia hali halisi ya yule bint na ameapa kuondoka na watu kwasababu na yeye ameupata kwaiyo akubali,pombe zimekata muda huohuo,na akaomba Kama nikirudi basi niangalie namna ya kumuondoa ili pasi na shida na yeye,akili zimerudi na pombe imekata,basi kufika geto ni jiandae uende huu rafiki yangu ni dereva kwaiyo wanaondoka mudaa huu kwenda dar kwaiyo nataka kuondoka nae,basi flesh demu kaelewa katoka na posho ni Nini kiroho Safi,basi nyege zote Kwisha kabsa, asubuhi mama anaongea unaona kabsa anamaanisha Tena kwa kunisisita Kama nitakuja Moro na nikawa mgeni wake basi aniambie ataweka mazingira fresh,na nitafutahi kuwepo viunga vya morogoro,
Angalizo:Kama Kuna wahudumu kwenye huu Uzi jifuzeni jambo Kama unaona nimeyakanya kabla haijanikuta ndoige(ugoni/VVU) ninisuru tuu utapata baraka kwa mungu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Sio neema lodge hio ? Room Bei gani ?
 
Kuna kipindi nilifanya kazi iliyonifanya nisafiri karibu wilaya 50 za Tanzania. Hapa ndio nilijifunza usafi na uchafu wa lodge. Maeneo yenye baridi sana kama makete,njombe,mafinga,mbeya,iringa na nk usafir huwa duni sana msimu wa baridi. So hapo nilijifunza kama napack begi chakwanza taulo,shuka,mswaki,dawa ya meno,shuka la kimasai ndio zinafuata nguo na vingne.
Towel,,, shuka, blancket sio vya kutumia Mara uendapo lodge/guest house hususan huko wilayan ndan ndan !! May be hotelini walau mazingira Ni ya kuridhisha !
 
Kuna siku niko nagegeda afu nimeweka play list songs kwenye pc,mara naskia umeingia wimbo wa dini,shoo ikaishia apo[emoji23][emoji174]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni kalii
 
Sasa mimi nitoke kwangu niende lodge nikafanye nini? Yaaani hapa hapa dar nilipie lodge nikacheke tu no way,
Note mimi sizungumzii wale wa kusafiri inter-region
Kuna watu wanaenda lodge kupumzika au kufanya kazi zake muhimu..hata kama anaishi maneno ya karibu,kuna watu mazingira ya nyumbani sio rafiki Kwa namna moja au nyingine.
 
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.

Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.

Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.

Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.

Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).

Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Nimechoka kidala her mbona mbupu zako ndefu ,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kevin maningu anajua sana kuna ligi moja chasalawe nilikua nae timu moja....kuna ligi 2019 tulichezea hapo uwanja wa hungumalwa m nilikua timu ya stend hungumalwa na tulichukua sisi tukiwafunga boda boda fainali....timu yetu ilikua na hao akina siraji wapinzani wetu walikua na Paul Nonga na wengineo.

Ila kipindi hiko guest zilikua zinajaa sana maana ni kipindi cha mavuno...kuna time mnazunguka hata lodge tani hakuna nafasi inabid mlale wawil wawil
huyu maningu ni kukosa Tu connection Ila angeweza kucheza hata ligi kuu, maana ni striker haswaa na analijua goli, anaweza kufunga kila nafas anayopata,Cha kuhuzunisha umri umemuacha kabla hajatoka.

Nimemfundisha miaka ya nyuma akiwa sumve chuo cha afya, na Sisi tulikua na kituo cha soka hapo
 
huyu maningu ni kukosa Tu connection Ila angeweza kucheza hata ligi kuu, maana ni striker haswaa na analijua goli, anaweza kufunga kila nafas anayopata,Cha kuhuzunisha umri umemuacha kabla hajatoka. Nimemfundisha miaka ya nyuma akiwa sumve chuo cha afya, na Sisi tulikua na kituo cha soka hapo
Ndio hivo connection yake sio kubwa ila kwa hizi timu ndogo polisi,ihefu angecheza vzr tu...Kuna mwenzie Malulu naona sahiv kaishia pamba tu ingawa alicheza ligi kuu kidogo akiwa Stand ya Shy
 
Back
Top Bottom