Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.

Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.

Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.

Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.

Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).

Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.

1. Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala

2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke

3. Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti, alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa

4. Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.

5. Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.

6. Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7. Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana
Musoma mjini siyo pale embassy Kwa shangazi kweli?
 
Imebidi nimfuate mhudumu asbh hii nikamuuliza akabaki anacheka tu.

Ninapoondok nikamuohoji dereva boda akacheka then akanielekeza hbr za katerero.

Kwa asili wanawake wa bukoba pia wana maji changanya na katerr ndo hivo tena.

Sasa nina amani, ngoja nikapande zangu bus niende Omulushaka then Isingilo baada ya hapo niingie Mulongo.
Hukutafuta mmoja nawe umtoe maji through katerero?
 
Musoma mara,mwaka 2008,siwezi kusahau ile siku tarehe na mwez nimesahau ila siwezi kusahau,nimefika nikitokea Mwanza nilale asubuhi niende zangu dar kupitia sirari kipindi hicho njia ukiwa bukoba unapitia kampala kwa basi,ukiwa mwanza unapitia sirari,daaah nikachukua lodge,hapo hapo kulikuwa na bar,nikatoka enzi hizo balimi tamu balaa nikaanza kupiga balimi zangu ghafla akaja mshkaj akawa anamzingua muhudumu ambae anahusika na upande wa lodge na kaunta ya vinywa daaaah baada ya muda jamaa kaanguka kafa pale pale,cha kushangaza hakuna mlevi wala muhudumu aliostuka wakawa wanasema tu kiburi kimemponza,polisi wakaja wakachukua maiti bila kusema chochote na sisi tuliopo pale,palepale nikapata stor kuwa aliwekewa sumu ya mamba,usiku nimerudi chumbani maji yakawa hayatoki nikatoka kumgongea yule dada muhudumu,kwanza hakuitika ila aliuza nan wewe nikasema mm mpangaji wa chumba flan akauliza unataka nini,nikamwambia maji hakuna,akaniuliza kwahiyo[emoji3] daah nilipokumbuka tukio la yule jamaa aliokufa,nikamjibu hakuna kitu dada nimeuliza tu labda yatarudi na mabomba yapo wazi hivyo yatamwagika[emoji3][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukajishusha
 
Miaka miwili nilienda vwawa mbozi kuna guest house ipo karibu na shell ya ilasi inaitwa mkulima guest house,chumba chenye choo,tv,maji ya moto ya heater,kitanda 6x6,wali maharage bure,nguo zisizidi 2 unafuliwa na viatu unabrashiwa kwa sh 10,000/=!!kwa kweli nilistaajabu na wengi hawaamini nikiwahidithia!
Duuuh
 
Morogoro nimekutana na Mwalimu tukawa tunaangalia promo ya heineken, nikamnunulia bucket 🪣 mbili mara kaanza kukata mauno na yeye kama wacheza shoo, tumefika chumbani katapikia mashuka yote, nikabeba kibegi changu nikasepa, sijui nini kiliendelea,uzuri huwa naandika majina na no za simu za uongo.
Shauri yako
 
Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.

Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa [emoji51]
Daah hii Kali
 
Kuna lodge mtwara pale nililala aisee noma sana, yaani kila ukimwagiza muhudumu akuletee kitu chumbani lazima abebe condom.

kuna siku sikuwa na mishemishe so siku nzima nipo pale lodge, asbh nikamwita muhudumu wa chai aje achukue vyombo vya chakula jion ile anaingia tu nikamshika mkono kuashiria mzagamuo naona akafungua ndomu haraka haraka akala kimoja akaondoka..., Mchana wa counter nimemwomba aniletee maji nashangaa naye akaja na ndomu naye akala kichapo, aliyeingia shift usiku naye akaja kunilaza, nilipita tu pale nikamwambia yule dada alokuwepo ametoka? Akasema ndiyo lakin yeye yupo, nikamchana tu njoo mara moja, tangulia naja, mara huyu hapa na condom..

Siwatajii ni logde gani
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
 
Kuna lodge mtwara pale nililala aisee noma sana, yaani kila ukimwagiza muhudumu akuletee kitu chumbani lazima abebe condom.

kuna siku sikuwa na mishemishe so siku nzima nipo pale lodge, asbh nikamwita muhudumu wa chai aje achukue vyombo vya chakula jion ile anaingia tu nikamshika mkono kuashiria mzagamuo naona akafungua ndomu haraka haraka akala kimoja akaondoka..., Mchana wa counter nimemwomba aniletee maji nashangaa naye akaja na ndomu naye akala kichapo, aliyeingia shift usiku naye akaja kunilaza, nilipita tu pale nikamwambia yule dada alokuwepo ametoka? Akasema ndiyo lakin yeye yupo, nikamchana tu njoo mara moja, tangulia naja, mara huyu hapa na condom..

Siwatajii ni logde gani

[emoji23][emoji23] hata wao walikushangaa
 
Miaka miwili nilienda vwawa mbozi kuna guest house ipo karibu na shell ya ilasi inaitwa mkulima guest house,chumba chenye choo,tv,maji ya moto ya heater,kitanda 6x6,wali maharage bure,nguo zisizidi 2 unafuliwa na viatu unabrashiwa kwa sh 10,000/=!!kwa kweli nilistaajabu na wengi hawaamini nikiwahidithia!
Hata mm nimestaajabu mkuu [emoji19]
 
Kuna lodge mtwara pale nililala aisee noma sana, yaani kila ukimwagiza muhudumu akuletee kitu chumbani lazima abebe condom.

kuna siku sikuwa na mishemishe so siku nzima nipo pale lodge, asbh nikamwita muhudumu wa chai aje achukue vyombo vya chakula jion ile anaingia tu nikamshika mkono kuashiria mzagamuo naona akafungua ndomu haraka haraka akala kimoja akaondoka..., Mchana wa counter nimemwomba aniletee maji nashangaa naye akaja na ndomu naye akala kichapo, aliyeingia shift usiku naye akaja kunilaza, nilipita tu pale nikamwambia yule dada alokuwepo ametoka? Akasema ndiyo lakin yeye yupo, nikamchana tu njoo mara moja, tangulia naja, mara huyu hapa na condom..

Siwatajii ni logde gani
[emoji23][emoji23][emoji23] Niko mtwara tupeane location japo pm
 
Back
Top Bottom