Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Ntakuwa naharibu biashara ya watu mkuu, lodge nyingi wapo hivyo lakin, sawa komando wa Yanga [emoji23][emoji23]

Oya mimi sio huyo mwamba hapo
Huyo jamaa alinifurahisha alipomnanga hersi kwamba wao wala mihogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna lodge mtwara pale nililala aisee noma sana, yaani kila ukimwagiza muhudumu akuletee kitu chumbani lazima abebe condom.

kuna siku sikuwa na mishemishe so siku nzima nipo pale lodge, asbh nikamwita muhudumu wa chai aje achukue vyombo vya chakula jion ile anaingia tu nikamshika mkono kuashiria mzagamuo naona akafungua ndomu haraka haraka akala kimoja akaondoka..., Mchana wa counter nimemwomba aniletee maji nashangaa naye akaja na ndomu naye akala kichapo, aliyeingia shift usiku naye akaja kunilaza, nilipita tu pale nikamwambia yule dada alokuwepo ametoka? Akasema ndiyo lakin yeye yupo, nikamchana tu njoo mara moja, tangulia naja, mara huyu hapa na condom..

Siwatajii ni logde gani
Mkuu vipi uliwala bureee?
 
Hiyo ilinipata mwaka Jana, nilienda mwanza kwenye rock city marathon, nikalala mtaa wa kirumba maana sio mbali na rock city Moore tunapoanzia mbio. Aisee vyumba vyote vya hiyo guest ilikua ni kelele tupu, nje ukutani ni kelele, kelele kila mahali watu wanapigana mashine. Sikulala Hadi asubuhi
Naomba adha hii isije nikuta kwani Mara kadhaa huwa ninasafiri na watoto wangu...
Mara nyingi ninachuaga best ambazo angalau Zina Bei juu, na hazijazungukwa na baa.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna lodge mtwara pale nililala aisee noma sana, yaani kila ukimwagiza muhudumu akuletee kitu chumbani lazima abebe condom.

kuna siku sikuwa na mishemishe so siku nzima nipo pale lodge, asbh nikamwita muhudumu wa chai aje achukue vyombo vya chakula jion ile anaingia tu nikamshika mkono kuashiria mzagamuo naona akafungua ndomu haraka haraka akala kimoja akaondoka..., Mchana wa counter nimemwomba aniletee maji nashangaa naye akaja na ndomu naye akala kichapo, aliyeingia shift usiku naye akaja kunilaza, nilipita tu pale nikamwambia yule dada alokuwepo ametoka? Akasema ndiyo lakin yeye yupo, nikamchana tu njoo mara moja, tangulia naja, mara huyu hapa na condom..

Siwatajii ni logde gani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ulianzisha huu uzi utachomwa na uji wa lava *****[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😀 😀 😀sitakuwepo siku hiyo
 
Kuna lodge mtwara pale nililala aisee noma sana, yaani kila ukimwagiza muhudumu akuletee kitu chumbani lazima abebe condom.

kuna siku sikuwa na mishemishe so siku nzima nipo pale lodge, asbh nikamwita muhudumu wa chai aje achukue vyombo vya chakula jion ile anaingia tu nikamshika mkono kuashiria mzagamuo naona akafungua ndomu haraka haraka akala kimoja akaondoka..., Mchana wa counter nimemwomba aniletee maji nashangaa naye akaja na ndomu naye akala kichapo, aliyeingia shift usiku naye akaja kunilaza, nilipita tu pale nikamwambia yule dada alokuwepo ametoka? Akasema ndiyo lakin yeye yupo, nikamchana tu njoo mara moja, tangulia naja, mara huyu hapa na condom..

Siwatajii ni logde gani
Mkuu hata piemu nitupie jina acha uchoyo
 
1997 tabora,nimeingia gesti,madirisha ya mbao,sikufunga,nimeanza game mwanaume nachanga Tako vibaya game limenoga,mafala wakanichoma unyasi tundu dogo...niliruka,kipindi hicho habari za popo bawa zinavuma,nikaenda kufungua dirisha,tukaendelea na dhambi
hii imebid nicoment nimeshindwa kuvumilia kicheko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbeya hyo

Nimepiga inshu zangu nimemaliza ikafika saa mbili hv nikasema wacha niende kulewa Kuna club moja hv huwa wanakesha wacha hz baa mbili maarufu karibu na mwanjelwa yaan hyo club n kama unaeelekea uyole ila unapita kabwe sasa nikasema wacha nichukue chumba karibu ili nikisikia Usingizi nipate sehemu ya kulala ebana nikaangukia kigesti Ila wao waliandika lodge nyuma ya hyo club.

Picha la kwanza maji ya Moto n jiko la mkaa na mbeya ilivyo na baridi nikaona haina shida nikaweka vitu vyangu nikamtania yule muhudumu kuwa nikikala napewa nn yeye akinijibu unataka nn Basi utan utan nikawa Kama nimemtania kumtaka mie nikatoka nikaenda kwenye Ile club nikanywa mpaka saa nane hv nilivyorud akanifungulia nikaingia nikampa utan nikaingia zangu kulala.

Muda ukapita kidogo nikaskia ngo ngo ngo kufungua yule dada aisee yupo na kitenge kimoja tuu eeeh nikasema Leo utan umenikost vibaya mno, Ila MUNGU huwa yupo upande wangu sana nikamwambia hamna kondom kumbe anazo aisee wacha tuu nikasema wacha nibambie tuu Ila sasa akawa hataki nimtoe kitenge ikiwa taa imewaka namie sababu nilikuwa sitaki kufanya nikawa nakomalia kumtoa taa ikiwaka sasa kumshikashika MUNGU saidia akalegea nikamtoa kanga aisee upaja wote unavile vikovu vya upele upele aisee nikasema nashukuru Sana hapa nilikuwa naenda kuumiza familia yangu mwenyewe aisee nikamzuga akalete chaja kwanza niweke simu isizime kesho na alipotoka tuu nikafunga mlango.

Asubuh naangalia kondom alizokuja nazo n 2pcs nikasema huyo alietumia moja MUNGU ampe nguvu mie huyo nikamwambia narudi kesho yake naenda Zambia.
noma
 
Musoma mara,mwaka 2008,siwezi kusahau ile siku tarehe na mwez nimesahau ila siwezi kusahau,nimefika nikitokea Mwanza nilale asubuhi niende zangu dar kupitia sirari kipindi hicho njia ukiwa bukoba unapitia kampala kwa basi,ukiwa mwanza unapitia sirari,daaah nikachukua lodge,hapo hapo kulikuwa na bar,nikatoka enzi hizo balimi tamu balaa nikaanza kupiga balimi zangu ghafla akaja mshkaj akawa anamzingua muhudumu ambae anahusika na upande wa lodge na kaunta ya vinywa daaaah baada ya muda jamaa kaanguka kafa pale pale,cha kushangaza hakuna mlevi wala muhudumu aliostuka wakawa wanasema tu kiburi kimemponza,polisi wakaja wakachukua maiti bila kusema chochote na sisi tuliopo pale,palepale nikapata stor kuwa aliwekewa sumu ya mamba,usiku nimerudi chumbani maji yakawa hayatoki nikatoka kumgongea yule dada muhudumu,kwanza hakuitika ila aliuza nan wewe nikasema mm mpangaji wa chumba flan akauliza unataka nini,nikamwambia maji hakuna,akaniuliza kwahiyo[emoji3] daah nilipokumbuka tukio la yule jamaa aliokufa,nikamjibu hakuna kitu dada nimeuliza tu labda yatarudi na mabomba yapo wazi hivyo yatamwagika[emoji3][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona customer care unazipa promo guest zako za Ruangwa kwa kutumia ID mbili mbili. Moja unajiuliza swali, nyingine unajijibu.
Bro jaribu kunifatilia comments zangu kwenye majukwaa mbali mbali mi sio customer care wa mahali popote na niwe na ID mbili zinisaidie nini,sijapenda comment yako....Anyways Karibu Ruangwa
 
Back
Top Bottom