Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa.

Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe.

Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine.

Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake.

Polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).

Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa.

Dah.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku moja nipo mkoa X nishapanga game na kidemu flani hivi, mida kama ya saa 10 hivi nikafika lodge ili niandae mazingira.

muhudumu akasema vyumba vipo sasa katika kunipeleka vyumba kuviona [emoji23][emoji23] si nikaingia Chumba watu wanakulana.

hawakufunga ata mlango na yule muhudumu alijisahau juu ya kile Chumba, aisee walishtuka sana walijua ndo wamefumaniwa, sitasahau hiyo
[emoji23]
 
1997 tabora,nimeingia gesti,madirisha ya mbao,sikufunga,nimeanza game mwanaume nachanga Tako vibaya game limenoga,mafala wakanichoma unyasi tundu dogo...niliruka,kipindi hicho habari za popo bawa zinavuma,nikaenda kufungua dirisha,tukaendelea na dhambi
[emoji23] mkuu kwahy walikutekenya Kweny jicho kiac chake
 
Nilienda lodge moja Tanga, sasa ile kufika akaja jamaa na dem(sijui mke wa mtu yulee)..
Sasa dada akawa anatuonesha chumbaa...
Ile amefungua chumba cha kwanza jamaa bila hata kukiangalia akamvuta dem wake na kubamiza mlango kwa kunyanduanaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Nilicheka sana, yani mwamba alikua anaona tunamcheleweshaa....au sijui alikua ashameza viagra yulee??[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] upwiru mbaya wakuu omba yasikukute alafu ukute huyo demu ni muda mrefu amekuzungusha kukupa K
 
Dumila.
Nilienda kikazi na jamaa mshikaji wangu. Tukapata ile lodge iko upande wa kushoto wa barabara kama unatoka moro kwenda Dom. Ipo mwanzoni kabisa unapoanza kuingia Dumila bondeni bondeni hivi imejitenga ila ndo ilikuwa inaonekana nzuri kuliko zingine.

Mimi na jamaa yangu kila mtu alichukua rum yake. sasa mimi nilichukua room ambayo dirishani nikifunua pazia naona kila anayekuja pale. Mida ya saa 6 nikasikia kuna noah inakuja pale muziki uko juu sana hadi nikashtuka.

ucheki dirishani nikaona jamaa wawili wanashuka na demu mmoja wamemweka kati hivi alaf washapiga kilevi. Wakaja reception nilikuwa nawasikia kila walichokuwa wanaongea. Sasa walipoingia room walienda kumpiga mtungo yule dada aisee hatukulala.

Mwanamke alikuwa anapiga kelele ile ni mayowe kabisa kuna wakati anapiga kelele anasema mhudumu njoo niokoe wataniuaaaaaaa. hapo ni saa saba kwenda nane. baadaye pakatulia kidogo saa kumi wakaamsha popo tena mii sikulala kabisa. na zile kelele zinajua kuamsha nyege aisee ilibidi nipige chaputa moja ndo nikalala. Kesho yake mi na jamaa yangu tukasepa mapema sana njiani tunasimuliana.
Mkuu c ungrmchukua ht mdada wa reception pale au budget haikua poa cku hyo [emoji23]
 
Back
Top Bottom