Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Shusha vitu mkuu... hujawazoea watu wa humu tu.

Utani tu usichukulie hivyo
 
Hee Lwanda Mimi na shunie tuna taniana jamani wala haihusiani na wewe
Looh utani umeniponza [emoji1381]‍♀️
 
@Maya Angelou uje hapa umeyataka
 
Mkuu Lwanda Magere kwa uwezo wako ulikuwa unaweza jua majina halisi ya JF members?

Kama ndio, basi hatuko huru tunavyodhani [emoji3]
 
Mkuu Lwanda Magere kwa uwezo wako ulikuwa unaweza jua majina halisi ya JF members?

Kama ndio, basi hatuko huru tunavyodhani [emoji3]
Mkuu ningekuwa bado niko kwenye hizo enzi bila shaka kuna watu humu ningewakung'uta bakora za kim-kakati mpaka waache dharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu ningekuwa bado niko kwenye hizo enzi bila shaka kuna watu humu ningewakung'uta bakora za kim-kakati mpaka waache dharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hahahahaha aiseee..... mi ningekuomba uingie tu kile kichumba useme "Malkia mruhusu Joka lenye makengeze amtafune Shunie kimasiara"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo' mlivyo nyie waleta visa humu, unaleta kisa mtindo wa episodes, mbeleni unaikacha stori kwa kusingizia wakosoaji au majukumu kumbe mna malengo yenu!

Mfano kama wakosoaji wawili watatu watakosoa kuhusu stori au kukuudhi wewe unakacha stori mazima hujui kuwa una wafuatiliaji mamia kwa mamia wanafuatilia kimya kimya?

Ukikacha stori inamaana umetupotezea muda wetu kwa kukufuatilia muda wote na unatuathiri kisaikolojia? Ningekuwa moderator ningekuwa nawapiga ban wanaoleta visa nusu humu na kuvifuta visivyoendelezwa ili kulinda hadhi ya jF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…