kutambua ipi imani sahihi hata huitaji degree, kwani wale mashehe wanaotangazwa instagram wanatumia visomo wanatofauti gani na waganga wanaologa watu??Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.
Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuHuyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa sababu watu walikuwa mbali sana na ulinzi wa Mungu.
Hakuna mahali popote nilipokashifu dini ya mtu.
Kumbe shida yake ni udini!!kutambua ipi imani sahihi hata huitaji degree, kwani wale mashehe wanaotangazwa instagram wanatumia visomo wanatofauti gani na waganga wanaologa watu??
Mkuu unadhani nipo hapa kuanzisha kanisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na zaidi sote tutakufa, hakuna atakayebaki mana naona umehamia kwenye kufa sasa, sasa sijui unetamka ili kuniogopesha ama vipi, kifo ni mojawapo ya stages za kisayansi za mwanadamu lazima apitie kama sisi tulivyotoka kua MANYANI na kua BINADAMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda watu kama nyie ambao hua mnafanya reasoning kabla ya kuhamaki kwa hasira kama wengine, unajua kama mtu una dhamira ya kweli kabisa na unaheshimu mipaka ya KIIMANI huwezi uka PANIC, uki PANIC inamanisha kuna jambo halipo SAWA...uko sahihi mkuu kwa maono yako, ila mtoa mada amezungumzia historia ya maswahibu yaliyomkuta kwenye maisha yake na kueleza upande alipo sasa. Ila lengo lake ni kushare na sisi tusiweze kutumbukia humo na hta kama akitangaza injili sidhani kama ni rahisi kubadilisha imani za wengine humu
Hahaaha kwani nani amemnyima kibali cha kuhadithia, na zaidi hayo mapepo hata kama yangekuepo hayana HAKI ya kumzuia kuendelea kufanya anachokifanya, ila narudia , popote ambapo nitakuta UNAFIKI huu na UONGO unaonezwa na kutoa image mbaya kwa wenye imani upande wa pili, sitasita kuusemeaWewe pamoja na mapepo yako mmeshindwa
Kajipangeni tena!
Kafanye wewe unachoona ni sawa.
Kahubiri na wewe unayoona sawa.
Mungu alishampa kibali cha kuhadithia,hakuna kima anayeweza zuia.
Huyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa sababu watu walikuwa mbali sana na ulinzi wa Mungu.
Hakuna mahali popote nilipokashifu dini ya mtu.
Hayo ndiyo huwa wanayajadili huko kwao.Mkuu unadhani nipo hapa kuanzisha kanisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafiki unao wewe na anko wako mudi bwanaHahaaha kwani nani amemnyima kibali cha kuhadithia, na zaidi hayo mapepo hata kama yangekuepo hayana HAKI ya kumzuia kuendelea kufanya anachokifanya, ila narudia , popote ambapo nitakuta UNAFIKI huu na UONGO unaonezwa na kutoa image mbaya kwa wenye imani upande wa pili, sitasita kuusemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine ndiyo pengine siyo, jibu unalo mwenyewe na hata kama NDIYO Mimi ni nani wa kukuzuia , ila narejea kusema kua popote ambapo nitakuta jambo ambalo kwangu Mimi naona sio SAWA nitasema haswa haya ya KIIMANI wa KUCHAFUA taswira ya watu wanaoamini kile wanachoamini, unafiki na UONGO nitaukemea, MIPAKA YA KIIMANI NA IHESHIMIWE, lakini nashukuru angalau umecheka na umeielewa LOGIC yangu, ulianza KUPANIC , sasa uki PANIC utanishtua kidogo na kujiuliza kwanini UNAPANIC...Mkuu unadhani nipo hapa kuanzisha kanisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu shida yako unaleta udini wakati kwenye hiki kisa hakuna hata mahali ambapo nimekashifu dini ya mtu au kuwashawishi watu waabudu dini ninayo amini mimi,lengo lako kubwa ni nini?,au ulitaka nisiseme kile nilichokifanya na nilichokipitia,hutaki ukweli usemwe?.Napenda watu kama nyie ambao hua mnafanya reasoning kabla ya kuhamaki kwa hasira kama wengine, unajua kama mtu una dhamira ya kweli kabisa na unaheshimu mipaka ya KIIMANI huwezi uka PANIC, uki PANIC inamanisha kuna jambo halipo SAWA...
Kukujibu mkuu, ndipo hapo tunapokosea sana kuamininishwa ya kua ukiwa upande mwingine wa KIIMANI " UTATUMBUKIA" , hua wanakupa maneno "kutumbukia" sababu wamekuonesha picha ambayo wewe utaitafsiri vibaya sababu pia kwenye picha hio kuna mambo mengi ya UONGO yamekua IMPLANTED, na ni ya UONGO sababu ndicho wanachotaka uamini ili kukuvuta uje kwao , na wakati Mimi kama nipo upande A sioni HAJA ya kuja kusema kua NILIKUA upande B na nilifanya MAASI kwahio huku ni KUBAYA, sasa kwanini tuache huu unafiki uendelee halafu upewe CREDIT kwanini mtu anaanzisha kitu lakini ukisoma kwa makini content unaona wazi kabisa hii ni MOCK kwa wenye imani upande mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwao, wapi huko binti/kaka ,Hayo ndiyo huwa wanayajadili huko kwao.
Wanajazana upepo na ujinga
Hao wenzetu wanashirikiana na majini ndiyo maana wanatukaruka kama maharagwe yaliyopikwa.kama umeielewa adhma yake achana nae mkuu, for myside sidhani kama kuna dini yoyote inafurahia matendo ya shetani (maovu).
Huko uliko
Kipi ambacho kimekudhibitishia ya kua IMANI za upande mwingine ni MAOVU au MATENDO YA SHETANI, ? Na ukiambiwa ulete UDHIBITISHO PASI NA SHAKA kukiwa na MIFANO HAI YA VIDEO udhibitishe kauli yako ukisema WENYE IMANI YA UPANDE WA PILI wana MATENDO YA MAOVU, na wanachofanya HUKO ni MATENDO YA SHETANI(MAOVU), .?kama umeielewa adhma yake achana nae mkuu, for myside sidhani kama kuna dini yoyote inafurahia matendo ya shetani (maovu).
Hahahahaahahhaha sasa kijana naona MIPASHO imeanza, nami MIPASHO sitaweza, hua napenda LOGICAL THINKING, hakuna cha jini kurukaruka wala kutambaa. Pole.Hao wenzetu wanashirikiana na majini ndiyo maana wanatukaruka kama maharagwe yaliyopikwa.
Mtu hakai kwa kutulia,tangu mwanzo wa mada anatokota tu!
Unaumia Ukiwa wapi!??Hahahahaahahhaha sasa kijana naona MIPASHO imeanza, nami MIPASHO sitaweza, hua napenda LOGICAL THINKING, hakuna cha jini kurukaruka wala kutambaa. Pole.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa boss, ila hoja ya jamaa anasema TUSITUMBUKIE kwenye nguvu za giza (ushirikina) na sio upande wa pili wa dini yake,Napenda watu kama nyie ambao hua mnafanya reasoning kabla ya kuhamaki kwa hasira kama wengine, unajua kama mtu una dhamira ya kweli kabisa na unaheshimu mipaka ya KIIMANI huwezi uka PANIC, uki PANIC inamanisha kuna jambo halipo SAWA...
Kukujibu mkuu, ndipo hapo tunapokosea sana kuamininishwa ya kua ukiwa upande mwingine wa KIIMANI " UTATUMBUKIA" , hua wanakupa maneno "kutumbukia" sababu wamekuonesha picha ambayo wewe utaitafsiri vibaya sababu pia kwenye picha hio kuna mambo mengi ya UONGO yamekua IMPLANTED, na ni ya UONGO sababu ndicho wanachotaka uamini ili kukuvuta uje kwao , na wakati Mimi kama nipo upande A sioni HAJA ya kuja kusema kua NILIKUA upande B na nilifanya MAASI kwahio huku ni KUBAYA, sasa kwanini tuache huu unafiki uendelee halafu upewe CREDIT kwanini mtu anaanzisha kitu lakini ukisoma kwa makini content unaona wazi kabisa hii ni MOCK kwa wenye imani upande mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app