Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Tuweke sawa hapo nuru ya kweli ipo ndani yako usimnyooshee mtu mwingine kidole ili hali vinne vinakuangalia wewe,ni rahisi sana kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa Mungu, kuna jambo muhimu zaidi ni pale msalabani hakika umesamehewa dhambi zako nakuahidi leo hii tutakua wote paradiso. Ukielewa hayo hutapata tabu kumbagua mtu sababu ya dini au dhambi zake au lolote ni vipi walipomshangaa kuongea na kula na makahaba jibu jepesi sikuja kwa ajili ya walio wasafi pia usisahau ukitaka kuwa mkubwa katikati yao lazima uwe mdogo kuliko wao. Tuendelee na story bila migongano binafsi ya kimawazo.
 
Mkuu endelea na stori please
Tunahitaji kusoma muendelezo.


Unajua siyo lazima kila mtu aamini.
Waache wenye kuamini wataamini
Wasio kuamini ujue siku yao bado..inakuja ya kuamini.
 
Daah kumbe hii story bd IPO km wanakuznguah achana nayo tafuta kaz ya kufanya
 
Mkuu Mimi naona unajikanganya tu bado, na bado hujanijibu maswali yangu tafakuri, kua ni KIPI HASWA kimekufanya ulete hii stori hapa, suala la kudhibitisha najua huwezi kudhibitisha hayo mambo ambayo unaaminisha umma kua yapo upande wa pili, wewe kama ulikua CHUMBA A na ukahamia CHUMBA B, kuna ulazima gani wa wewe kuongelea yaliyokua yanafanywa CHUMBA A pasipo na UDHIBITISHO uliotukuka na zaidi ambayo unayasema yanaleta taswira mbaya kwa WAAMINIO wa CHUMBA A uliowaacha, narudia kuasema nilichokiandika hapa hakikunyimi wewe kuendelea na HADITHI yako lakini nimekuta jambo ambalo imenipasa kulitolea maelezo huu UNAFIKI na UONGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hakuna mwanadamu nyani acha frika za mapokeo , ww una ajenda kali nyuma ya pazia juu ya stori hii . Kaa jitafakali
 
Mkuu whyme pumzika kidogo.Mpaka sasa unaongoza bao 3-0 dhidi ya mpinzani wako mkali sema shule ndio ivo hospitali kuna kama rubani anaenda mgomba japo mbuzi nae kuna mbu kwenye neti shule ya jeshi na taulo kwenye mchele wa bajaji.

Hongera
Ehhh [emoji23]... Nmevaa had earphones bado
sjaelewaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Endelea mkuu anataka kukutoa nje ya reli.
 
Hivi mijitu ya hivi mkoje watu tupo tunaburudika na ya ulimwengu yawe kweli au sio kweli wewe unatoka ulikotoka kumvuruga jamaa,acha roho mbaya aisee wapo tunaosoma na kufuatilia usituvuruge.
 
Kwamba mkuu uamini kama kuna ushirikina na kwasababu ninasema ushirikina ni mbaya unaona kama nawaonea washirikina?,Sasa ndiyo nimekuelewa mkuu kwamba unautetea ushirikina!!,kama unautetea ushirikina bila shaka na wewe ni mshirikina!!.

Mkuu mimi nitawaponda vichwa mpaka wanyooke!!
 
Samahani Mkuu, mwaka Jana uliomba msaada wa kuunganishwa na mtaalam wa kukuwezesha kupata utajiri wa Ndago ulifanikiwa ? Ulisema maisha yamekushinda wataka ndago uwe tajir. Kwa sasa una bilioni ngapi za shetani ? Lwanda kashatoka huko wewe endelea tu kutoa kafara huyo anayekutuma mwisho atakutoa kafara wewe mwenyewe shauri yako.Mwache lwanda atoe ushuhuda wake humu tujifunze.Kichwa kikubwa wewe.
 
We jamaa mbona una shobo wewe ,nitakutus nipigwe ban kwa ajili yko ,we inakuhusu Nini humu kwenye hii story ,kwenda zko huko ,Kama imekuuma chomoa
 
Achana nae huyo, Mwaka Jana humu aliomba mtu anaye mjua mganga wa kienyeji amuunganishe ,alisema maji yamemfika shingoni Hana namna ya kujikwamua na haya maisha , huenda alifanikiwa sasa hivi ana miliki mali za shetani za kishirikina , hivyo anaumia Sana ulivyojitoa na kuanza kutoa Siri zao humu,.Achana nae uzi wake uko humu ukiu search utaupata.
 
Tumevamiwa na mjumbe wa Malkia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nahisi ana undugu na Malkia huyu..
Halafu anajiona mjuaji sana kabisa anajaribu kutetea uabudu shetani.

Mkuu hebu endelea basi na stori..kuna Roho za watu nyingi zinasubiri kuponywa.

Usipoteze muda kubishana na mtu anayekupotezea muda bure,ni heri muda huu uandike stori watu wasome wajifunze.
 
We jamaa unanikera wewe ,hujielewi kwani lazima huwe kwenye huu uzi au unatafuta kutukanwa sikupendi kabisa ningekua na majini ningekutupia Toka kwenye huu uzi ,wacha wenzio tupone
 
Nitapigwa ban kwa ajili yke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…