Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

We jamaa unanikera wewe ,hujielewi kwani lazima huwe kwenye huu uzi au unatafuta kutukanwa sikupendi kabisa ningekua na majini ningekutupia Toka kwenye huu uzi ,wacha wenzio tupone
Kunichukia Mimi hakunipunguzii ama kuniongezea chochote, wewe kupona ama kutopona hakunizuii Mimi kusema nachotaka kusema, wala haikuzuii wewe kutaka kupona kama unavyodai, na hata ukitukana haitasaidia chochote zaidi ya kua utakua haujafanya logic thinking yoyote zaidi ya kuendeshwa na mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Kama nyinyi mnakera sana ,wote hatukupendi humu ,acha story iendeleee Kama kuuliza maswali utamuuliza mwisho wa story na ukitaka kuonana nae mbona lahisi tu juzi tu alikua Moro ,kwa hiyo hatupend utuvuruge humu
 
Huyu jamaa kafanya leo tusipate hata episode moja ya muendelezo. Tumripoti kama spam nini ? Ila jambo zuri ni wote kuamua kumuignore mwisho atanyamaza mwenyewe
 
Mkuu una bilioni ngapi za ndago ? Au Bado unatafuta mganga ? Lwanda ashatoka huko siku nyingi.Amkaa kumekucha acha kuwaza Mali za kishirikina wewe.
 
Mkuu umefunga mjadala rasmi, umemaliza kila kitu mwenye Akili timamu ataelewa na mwenye Akili za Utopolo muache na utopolo wake.
tuendelee na Episode 46&47
Non stop.
LwandaMagere
 
Mkuu jukwaa la entartainment wewe unakomaa na kuanza kubishana na mleta story kweli.
 

Wewe naye ni mshirika wa hayo mambo ya giza ndo maana unapanua sana domo kupinga..very soon na wewe utakuja humu JF kutushuhudia namna ambavyo hayo mambo ya giza hayafai ni suala la muda tu utakutana na nguvu za Mungu aliye HAI..
 
huyu whyme kavuruga story kama vp tumrepot tu wampige ban huwez kuleta mambo ya kijinga kwenye uzi wa mtu kama vp ufungue wako tu.. ni kitu kidogo tu whyme jing###
 
huyu whyme kavuruga story kama vp tumrepot tu wampige ban huwez kuleta mambo ya kijinga kwenye uzi wa mtu kama vp ufungue wako tu.. ni kitu kidogo tu whyme jing###
Low level thinking capacity yako ni ndogo sana, Jamii forums hawawezi kua na akili kama hizo kuweka ban kwa mtu ambaye ametoa concerns zake bila matusi, wewe mwenye level ndogo ya kufikiria unasema nimekuja kuvuruga, yani hii tu inanipa picha kua kuna watu hawajui hata wanachokisimamia maishani na kwanini wanakisimamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe naye ni mshirika wa hayo mambo ya giza ndo maana unapanua sana domo kupinga..very soon na wewe utakuja humu JF kutushuhudia namna ambavyo hayo mambo ya giza hayafai ni suala la muda tu utakutana na nguvu za Mungu aliye HAI..
Sijakuelewa ! Mambo ya Giza ndio yakoje, njoo na UDHIBITISHO kunidhibitishia kua kinachofanyika sehemu nilipo ni mambo ya giza, na kipi kinachokufanya u draw conclusion kua nitakuja kushuhudia nachokiamini HAKIFAI, kwahio wewe umevuka mpaka wangu wa KIIMANI kutaka kuniaminisha ya kua nachokiamini HAKIFAI, kwa sababu zipi haswa, hizi IMMPLANTED WORDS amabazo hua MNALISHWA ili muwaone walio upande mwingine SIO WATU?! POLE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa kafanya leo tusipate hata episode moja ya muendelezo. Tumripoti kama spam nini ? Ila jambo zuri ni wote kuamua kumuignore mwisho atanyamaza mwenyewe
Na ni aliyemzuia asiwape stori yenu "tamu"? Sijamshikilia mkono wake wala kalamu yake, unajua kutofautisha spam na challenging comments? Au nawe ni mmoja wa ambao hamjitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani ngoja niwaache muendelee kupewa STORI au ENTERTAINMENT, naona imeshindikana kabisa kujibiwa, wengi mna MIHEMKO, PRESHA, JAZBA, HASIRA, MATUSI, MIPASHO na personal attacks(mashambulizi binafsi ambayo Mara nyingi mtu ambaye ameshindwa hoja za msingi hua analeta), kwa wachache sana waliojaribu kunielewa heko kwao, wengi hamjui kwanini upo hapo na kwa sababu gani upo hapo ulipo, wengi hamjui hata mnachokisimamia, na laiti kama.ukijua basi huwezi kueneza PROPAGANDA za UONGO na za KINAFIKI kwa minajili ya kuonesha picha ya upande mwingine kua HAWAFAI na wanachoabudu ama kukisimamia, mipaka ya KIIMANI na IHESHIMIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mjuaji sana mwisho unakuwa mjinga huna logic yoyote,unasema hana uthibitisho wowote,wewe, unaepinga umefanya nini kuthibitisha jamaa hana uthibitisho hebu tuonyeshe kwamba ni uongo sio polojo zako hizo?
Harafu uzuri wa hii stori ipo kimafunzo zaidi, kwamba vijana tuache tamaa na tumrudie Mungu. so weather ni ya kutunga au ya kweli ina impact yake kwa wasomaji na jamii kwa ujumla so wewe kama unajiona great thinker sanaaa kagundue dawa ya covid19

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hawa wanaomsumbua LWANDA hawana akili.. hakuna aliyewalazimisha kusoma story hii.

Kama hupendi msiba wenye ugali, Basi mnyonge mwanao upike wali tuje kula.. (P*mbavu.)

Hii nchi wajinga wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…