atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
ExactlyHii simulizi kwa humu Ilikua inachagizwa sana na comments za wadau. Sasa kule telegram sidhani kama kuna hii Ladha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlyHii simulizi kwa humu Ilikua inachagizwa sana na comments za wadau. Sasa kule telegram sidhani kama kuna hii Ladha.
Analalamika nin wakati alikuwa anakutag kila dakika umwambie jamaa ashushe story?!....Mm nitakuwa wakili wako,hawezi kukudhulumu buku[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaetegemea maisha yake atayaendesha vp kama hatafanya hivyo?Alishasema hapo kwenye story yake pesa inaendana na shetani. Kampa nguvu shetani. Kwa mara nyingine katika maiaha yake shetani ameshinda. Huyu jamaa bana. Kaanza na kusema kuna watu wanataka kununua story aone uelekeo. Kaja tena na kuhamia telegram. Ishu sio buku ishu ni tamaa ya msimuliaji. Kwani tokea mwanzo alikua anasisitiza ni yeye mwenyewe kaamua kusimulia story ya maisha yake kilichomsibu tena kuhamisha uelekeo ni nini. Bora angeendelea kuomba hela ya vocha hapa hapa.
Dah kumbe whyme ni li chawi linachukia watu wanapofahamu kuhusu mambo yao ya gizaSasa nimeelewa kwanini amekuja kutuvuruga hapa. Kumbe ameona maslahi yake yanaguswa
Nimeshajua kwanin unapinga jamaa kuleta huu ushuhuda humu[emoji23][emoji23]Hauna hoja ya msingi, ndio mana sihangaiki na wewe, level thinking capacity yako ni ndogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna episodes zilifutwa au? Maana nimeishia baada ya kunaliza shule 2003 akaenda Mwanza. Sijaona kuhusu baiskeli wala nini.Mimi nataka kujua issue ya baiskeli ya mshkaji iliishia wapi.??
Halafu tafadhali acha kuwasikiliza baadhi ya hawa maandazi wa humu, ona kipande cha mwisho kilivyo hakina ladha kama chips zilizolala kisa tu kufupisha story,
LwandaMagere wewe tuwekee details zote ikiwezekana hata ratiba za msosi wa week nzima, tunaotaka tutasoma wasotaka waende jukwaa la siasa, hatuwezi kosa utamu kisa mafurushi machache..!!
alighairi maskiini kaka wa watu, akarndelea na episodes nyingine baada ya wabongo kuleta mboyoyo mingi..!!Kuna episodes zilifutwa au? Maana nimeishia baada ya kunaliza shule 2003 akaenda Mwanza. Sijaona kuhusu baiskeli wala nini.
Ila wabongo wajuaji sana. Utafiki wanamlipa mtu jinsi wanavyodai.
Msikilize redio free kila jpilii saa nne asubuh mpk tano kamili anasimuliaa ukooNatamani kuisoma hii mada yote tatizo kuutafuta mwendelezo wake,mods mtusaidie kupandisha links za alikoendelea zikae sambamba na main post maana ni kazi sana kutafuta post #743 unayohisi aliendelea huko hali yakuwa huna uhakika wa kukuta unachokitaka.
Ila kama ni kweli,nilikosoma soma nimegundua mleta mada mlikuwa familia iliyojisahau sana,hakuna hata mara moja hata kukiwa hamna tatizo mlikuwa mnkaa pamoja kama family kumuomba Mungu awape ulinzi even hata matatizo yalipoonekana bado mlizidi kutumia akili zenu changa kukabiliana nayo.
Wanaume dizain Hii Wana gubu mpk home, mwacheMpuuzi mmoja wewe
Kabisa[emoji109]Ila huu uzi kuna mengi ya kujifunza hasa hasa dada zetu,dada zetu kamwe usimletee mwanaume maneno ya dharau na kashfa hata kama hana kitu,dharau unayomwenyesha itaendelea kuishi ndani yake
Nimekufuatilia saana mkuuu na nimekuelewaMkuu Mimi naona unajikanganya tu bado, na bado hujanijibu maswali yangu tafakuri, kua ni KIPI HASWA kimekufanya ulete hii stori hapa, suala la kudhibitisha najua huwezi kudhibitisha hayo mambo ambayo unaaminisha umma kua yapo upande wa pili, wewe kama ulikua CHUMBA A na ukahamia CHUMBA B, kuna ulazima gani wa wewe kuongelea yaliyokua yanafanywa CHUMBA A pasipo na UDHIBITISHO uliotukuka na zaidi ambayo unayasema yanaleta taswira mbaya kwa WAAMINIO wa CHUMBA A uliowaacha, narudia kuasema nilichokiandika hapa hakikunyimi wewe kuendelea na HADITHI yako lakini nimekuta jambo ambalo imenipasa kulitolea maelezo huu UNAFIKI na UONGO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee kwa kupitia haya maandishi nimeelewa kitu aseeSijakuelewa, nimeuliza maswali, wewe unakuja na personal attacks, hii inaonesha dhahiri kua wewe na wenzio hamna weledi uliotukuka wa kunijibu zaidi ya personal attacks, nikisema nyinyi baadhi yenu ni makondoo mnapelekwa tu nitakosea, mnafurahia ( enjoyment) stori tu,
Yeye kutoka ama kuingia alikokua Mimi hakunihusu, Mimi nimekuja kusema UONGO na UNAFIKI wa watu wa aina yake, japo haimzuii yeye kuendelea kuwapa enjoyment ya stori.
Sent using Jamii Forums mobile app