Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
cc mahondawHatari sana... Ngoja tuone...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cc mahondawHatari sana... Ngoja tuone...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endeleza simulizi acha kutunyanyasa au hujui tunajifunza mamb mengi sana.
Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
Anazngua huyu mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anamalizia mambo yake ya kimkakati[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
we nenda youtbe mambo yxxha ishaga 3weeks ago. Naona anapo andka stor kun vitu anaviach af youtube anavsem. Hum matukio mengn anasimulia kam ndo yalianz kumb n y mwisho. Yaaan kun exaggeration y matkio .. si unaelew mamb y kuandka inabd v2 vingin vinapotea kuliko kuongea.....Huyu jamaa uskute malkia kashamrudisha kule ziwani na kazi yake ni kuwagegeda wale wanawake masaa 24/7
YouTube channel gan mkuu ?we nenda youtbe mambo yxxha ishaga 3weeks ago. Naona anapo andka stor kun vitu anaviach af youtube anavsem. Hum matukio mengn anasimulia kam ndo yalianz kumb n y mwisho. Yaaan kun exaggeration y matkio .. si unaelew mamb y kuandka inabd v2 vingin vinapotea kuliko kuongea.....
Natamgliz xhukran lwandamagere
ahaa ngoja nirudi cz niliishiaga ep 07we nenda youtbe mambo yxxha ishaga 3weeks ago. Naona anapo andka stor kun vitu anaviach af youtube anavsem. Hum matukio mengn anasimulia kam ndo yalianz kumb n y mwisho. Yaaan kun exaggeration y matkio .. si unaelew mamb y kuandka inabd v2 vingin vinapotea kuliko kuongea.....
Natamgliz xhukran lwandamagere
You tube channel gani Mkuu?we nenda youtbe mambo yxxha ishaga 3weeks ago. Naona anapo andka stor kun vitu anaviach af youtube anavsem. Hum matukio mengn anasimulia kam ndo yalianz kumb n y mwisho. Yaaan kun exaggeration y matkio .. si unaelew mamb y kuandka inabd v2 vingin vinapotea kuliko kuongea.....
Natamgliz xhukran lwandamagere
davistar mata media. Tittle . Tajiri aliy.... kaanzie sehem y 23 au 24 ndo alipoachia humuYou tube channel gani Mkuu?
We mzee embu tulia, tutajifunza lipi,au nimwambie Arudie Zama zake akuzukie hapo ukaushwe[emoji2957][emoji2957]Nikisoma historia yako upande mmoja nahisi hutakiwi kupata msamaha kwa watu na kwa MUNGU maana umeumiza watu wasio na hatia, yaani uchukue mkewe na kumuua umuue pamoja na watoto wake.
Mimi na Level capacity yangu Ni ndogo, Ila Nina hakika Whyme Ni mfupi.
Bro Lever Capacity na Personal attack Ni spea za Gari Gani?Hawa wanaomsumbua LWANDA hawana akili.. hakuna aliyewalazimisha kusoma story hii.
Kama hupendi msiba wenye ugali, Basi mnyonge mwanao upike wali tuje kula.. (P*mbavu.)
Hii nchi wajinga wengi sana.
pajero mini mkuu...unaijua? inasumbua balaaBro Lever Capacity na Personal attack Ni spea za Gari Gani?
[emoji3][emoji3]we jamaa Ni kichaa nimecheka Kama tejapajero mini mkuu...unaijua? inasumbua balaa
Yaaan awa nao sijui walikuwajekwahiyo hamkukumbuka kama hata kuna mungu