mshakamshaka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 355
- 647
Kwa hyo dada ashura hakuwasumbua Tena katika maisha yenu Mara baada ya kuuza nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza hakukuwa na mauzauza na kifo cha Bi Mkubwa nilikisababisha mimi.Baada ya kuhamia mwanza mauzauza yaliisha au yaliendelea? Kifo cha bi mkubwa (RIP) kilitokana na ashura?
SawaMwanza hakukuwa na mauzauza na kifo cha Bi Mkubwa nilikisababisha mimi.
Endelea kufuatilia utajua ni nini kilitokea
Yes baada ya kuhamia Mwanza hakukuwa na Usumbufu wa Ashura ila maisha yalikuwa magumu sana mpaka kupelekea mimi kuusaka utajiri,usisahau hapa nshakuwa mtu mzimaKwa hyo dada ashura hakuwasumbua Tena katika maisha yenu Mara baada ya kuuza nyumba.
Ni ISIDINGOhii story ishakuwa tamthilia ya kikorea🥱🥱
Nipo serious mkuu, nipe namba za Da Ashura nna shida nae😒Mkuu kuwa serious kidogo![emoji1787]
Mimi naomba uirudie sehemu ya mwisho weka matukio yote ikibidi uendelee ilikuaje hadi ukasababisha kifo cha bi mkubwa, baiskeli ya mwamba yaani weka kila kitu mpaka ratiba zako za kulala na kuamka wee weka tuAhahahahahaha!!
Basi irudie tena kwa kuweka matukio yote bila kufupishaMkuu kifo cha Bi mkubwa ni kisa cha pili baada ya kuhamia Mwanza siyo hiki cha Kwanza.
Wewe tena ndio ulisababisha kifo cha Bi mkubwa hatari hii.Mwanza hakukuwa na mauzauza na kifo cha Bi Mkubwa nilikisababisha mimi.
Endelea kufuatilia utajua ni nini kilitokea
Mwenyewe japo nimejiajiri nawaza hizi sikukuu zinazofuatana pamoja na ada ya dogo kwenda shuleTupe story kwa urefu na mapana kwanza huu muda tuko tuko tu maofisini hata mzuka wa kazi hamna tunawaza krismasi tu
Mimi nataka kujua issue ya baiskeli ya mshkaji iliishia wapi.??
Halafu tafadhali acha kuwasikiliza baadhi ya hawa maandazi wa humu, ona kipande cha mwisho kilivyo hakina ladha kama chips zilizolala kisa tu kufupisha story,
LwandaMagere wewe tuwekee details zote ikiwezekana hata ratiba za msosi wa week nzima, tunaotaka tutasoma wasotaka waende jukwaa la siasa, hatuwezi kosa utamu kisa mafurushi machache..!!
Pandisha juu episodes zoteMwanza hakukuwa na mauzauza na kifo cha Bi Mkubwa nilikisababisha mimi.
Endelea kufuatilia utajua ni nini kilitokea