financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mkuu unatutesa na story yako lkn!sawa bana wewe si ndiyo umeshika mpini😀😀😀Ianendelea sehemu ya 11...basis nikachukua baiskeli nikaeeeeendaaaa nikakata kona kufika Kwa mbele karibu na Kwa Mzee mwita maranya karibu na kituo cha police nikabanwa na haja Kubwa nikaweka baiskeli pembeni,hapo saaaasa balaa Kubwa likatokea nilivyomaliza kukata gogo natafuta majani nitawaze naskia mkono unanitawaza na maji ya moto yanunikiaaa vizuuriii nikavaa kaptula na kutoka mbio kufika kwenye baiskeli lahaula naona nyani kapakia anaiendesha huku akiniaga Kwa kicheko..wakazi Wa tarime mtakua mnajua mwita maranya anakaa karibu na kituo cha police ...ngoja kwanza nikahesabu hela kunaa mteja kalipa milioni 23 ya biashara nitarudi baadaye