Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Ianendelea sehemu ya 11...basis nikachukua baiskeli nikaeeeeendaaaa nikakata kona kufika Kwa mbele karibu na Kwa Mzee mwita maranya karibu na kituo cha police nikabanwa na haja Kubwa nikaweka baiskeli pembeni,hapo saaaasa balaa Kubwa likatokea nilivyomaliza kukata gogo natafuta majani nitawaze naskia mkono unanitawaza na maji ya moto yanunikiaaa vizuuriii nikavaa kaptula na kutoka mbio kufika kwenye baiskeli lahaula naona nyani kapakia anaiendesha huku akiniaga Kwa kicheko..wakazi Wa tarime mtakua mnajua mwita maranya anakaa karibu na kituo cha police ...ngoja kwanza nikahesabu hela kunaa mteja kalipa milioni 23 ya biashara nitarudi baadaye
Mkuu unatutesa na story yako lkn!sawa bana wewe si ndiyo umeshika mpini😀😀😀
 
Unapozaliwa unazaliwa peke yako na kufa utakufa peke yako, haya ya duniani ni mapito. Hivyo basi mwanamke kutumia udhaifu wako kwakua huna chochote hapo hamna mke Maisha yako daily yatakua ya huzuni, achia ngazi japo ushazoea kumbuka Mwanaume ndio nguzo ktk familia alafu mke ndio anafuata sio mwanamke kua juu utaburuzwa daily.
[emoji1787][emoji1787]
Nimejikaza nisiulize nimeshindwa, Mlawa nini mbaya😀
 
hii ni stori ya kutunga tu maana kuna vitu vingi unnecesary ila unaviandika ili tu kukuza ,kulikuwa hata hakuna faida kujua kwamba mtundi ni tall.
halafu unatuambia mganga alicheka sana kwamba kazi ni rahisi wala hakuwa na ahaja ya yeye kuja wakati huohuo unasema ilikua hawezi kukutibu hadi hivyo vitu vitolewe sasa vingetolewa na nani bila yeye kuja
Unamfundisha mwenye story kusimulia masimulizi yake huoni aibu
 
Bro hii itaendelea itaendelea sasa ishakuwa too much money

badi mani badi man, nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuuu hapo kwenye kulipia 50 kuangalia banda la video sio kweli maana mpaka sasa una 34 umenipita miaka kadhaa hapo mimi nilikuwa na check movie banda la video kwa 30
Bei imeshuka baada ya tiivii kua nyingi
 
Back
Top Bottom