Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kumbe game bado kwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama muongo iviSetting na location nakupata vyema hujatoka nje ya mstari.Ila Kuna mwalimu mkuu miaka hyo hapo Turwa uliposoma aliwah kufanyiwa kitu mbaya na jini alilokutana nalo njian akidhani ni mwanamke wa kawaida.
Huyo mwalimu baada ya kuelewana na yule mdada wakaenda guest house, mwalimu alifanya Mambo yake, baada ya kumaliza yule jini akambadilikia( akamuomba mchezo mwalimu mkuu) doh kasheshe ikaanzia hapo, ila kwa nguvu za yule jini alimuweza mwalimu kwa hiyo ticha akufumuliwa marinda.
Kwa kufupisha yule mwalimu hadi leo ni kilema anatembelea magongo chanzo ni yule jini, huwa anaadisia mwenyewe na anajilaumu Sana kupayukia mwanamke asiyemjua, kama atakuwa ajastafu bado atakuwa hapo shule.kawa kilema kabisa
Naona mkuu unafanya kila uwezalo kurefusha hii story.. its too much Junks...
Jifunze kufupisha.. sehemu zingine ziweke behind the scene..
Ina maana kile kitendo cha kuingiliwa ndio kilimpa ulemavu au umefupisha tu stori mkuu?Setting na location nakupata vyema hujatoka nje ya mstari.Ila Kuna mwalimu mkuu miaka hyo hapo Turwa uliposoma aliwah kufanyiwa kitu mbaya na jini alilokutana nalo njian akidhani ni mwanamke wa kawaida.
Huyo mwalimu baada ya kuelewana na yule mdada wakaenda guest house, mwalimu alifanya Mambo yake, baada ya kumaliza yule jini akambadilikia( akamuomba mchezo mwalimu mkuu) doh kasheshe ikaanzia hapo, ila kwa nguvu za yule jini alimuweza mwalimu kwa hiyo ticha akufumuliwa marinda.
Kwa kufupisha yule mwalimu hadi leo ni kilema anatembelea magongo chanzo ni yule jini, huwa anaadisia mwenyewe na anajilaumu Sana kupayukia mwanamke asiyemjua, kama atakuwa ajastafu bado atakuwa hapo shule.kawa kilema kabisa
Binafsi nikiona kitu kina sarakasi nyingi nisizozielewa huwa naachana nachoNafikiri labda kuna faida wanayoipata story ikiwa ndefu na wakiwa wanabembelezwa kuombwa waendelee.
Kuna a lot of unnecessaries kwenye hii story, ni sawa na chai iliyopowa kwenye kikombe cha plastic.
Binafsi nikiona kitu kina sarakasi nyingi nisizozielewa huwa naachana nacho
Ningekuwa Mimi muda huu Ashura alishajifungua siku nyingiMtoa mada ulishindwa kumla dada Ashura
Acha kudanganya umma huwezBinafsi nikiona kitu kina sarakasi nyingi nisizozielewa huwa naachana nacho
Na tusikuone jamaa akileta muendelezo[emoji1787][emoji1787]Binafsi nikiona kitu kina sarakasi nyingi nisizozielewa huwa naachana nacho
Tusimuone baadaeAcha kudanganya umma huwez