Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu


Hii story nilivyokuwa na hamu ya kuendelea kuisoma natamani kama ni cd basi ningehakikisha nanunua episode zoooooooote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu LwandaMagere zingatia sana huu ushauri👇👇

 

Namimi naomba kuunga mkono hoja lakni kwa kukazia tu ni kwamba si wote na sitegemei kuwa wote wanaomfata pm wanalengo hilo rahasha inawezekana mwingine akavutiwa na mshikaji kwakuwa ameweza kuruka vihunzi vingi hivyo kwa uzoefu wake akapenda wawekaribu katika kubadilishana nae mawazo kulingana na experiences alizokuwanazo

Mfano mzuri ni yule rafiki yake aliyempeleka kigoma kumbuka yule rafiki yake alikwenda kwa mambo yake binafsi yaani apate kinga dhidi ya watu wabaya na mafanikio kazini na sasa yupo migodini sasa ukimfata jamaa pm kwa kutaka msaada wa mawasiliano ya yule mama ili tupate kinga bado kuna ubaya mpaka tuogopane kiasi hicho?

Jaman haya maisha ni magumu na yanasiri ndefu tuache kumtisha jamaaa hata hivyo mkuu na wewe tambua katika safari yako ya kutafuta mafanikio kama uto rafiki yako angesema akufiche au awe mchoyo wa fadhira sidhani kama leo ungetoa ushuhuda huu sasa hapo ndio utambue umuhimu wa kuwa na marafiki na watu tofauti tofauti ingawa si kila rafiki ni rafiki utakuwa ukiwachuja mwenyewe
 
Aiseeeeh haya maisha watu wanapitia mengi sana ambayo wengine hatuyajui; kuna siri nyingi sana zimefichwa kwenye maisha ya watu zikihusisha mafanikio au kufeli kwao maisha; Mungu azidi kutujaalia mioyo ya kutafuta mali kwa njia halali na kuridhika na tulichonacho.....!
Twende kazi mkuu....!
 
Hongera kwa kutoka kifungoni mwa shetani.. [emoji122]

Kwa Yesu kuzuri, kwa Yesu raha... [emoji4]
 
Wee utakuwa ulienda pm weweeee
Sio kwa msisitizo huo hahaaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kinga ipo huko Lupatu, au hukuusoma ule uzi wa mkuu Kitoabu yani ni nomaaa
 
Hauko serius wewe!!! Juhudi zako pekee zitakupandisha cheo kazini. Mungu pekee ndo anaweza kukukinga na watu wabaya na wala sio nguvu za Giza. Embu kasome tena ulichoandika mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…