Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

@Jimena onlyalvira kaburungu Hornet Mgonga Like na wale wanyanyasaji wote na simu zao orijino mtanikutaga huko

Mimi huyoooo...kwenye vitua vizuri sitaki ujinga
 
Mimi na ww hadi nijue Yusta na zainati walivoshughulikiwa na shipa la kimkakati
 
@Jimena onlyalvira kaburungu Hornet Mgonga Like na wale wanyanyasaji wote na simu zao orijino mtanikutaga huko

Mimi huyoooo...kwenye vitua vizuri sitaki ujinga
Aaah mi app nilizonazo zinatosha kwenye simu, huko telegram wala siendi na mchezo unaishia hapa...

Kwahiyo huyu jamaa ameona buku buku ndio zitamtoa? Anyway nimtakie kila la heri huko telegram
 
Aaah mi app nilizonazo zinatosha kwenye simu, huko telegram wala siendi na mchezo unaishia hapa...

Kwahiyo huyu jamaa ameona buku buku ndio zitamtoa? Anyway nimtakie kila la heri huko telegram
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wee jamaa hata huruma huna vipi mwenzio anayetumia bundle lake kila siku na kudraft hio stori umefikiri anatumia muda kiasi gani Sasa ww buku tu ambayo hata bia haitoshi unaona mtiti loh
Ye angesema hizo buku tumpe hapa hapa, hayo maswala ya telegram amezingua sana,
Halafu unaposema ye anatumia bundle lake kudraft kwani unadhani sisi wengine tunatumia nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…