Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Hapo angeweka link ambayo ingetupeleka moja kwa whatsapp kwake, mtu ukimlipa anakuadd kwenye group kisha ye anasimulia kwenye group, sababu humu watu karibia wote tunatumia whatsapp na sio telegram

Yeye atengeneze kitabu, story za WhatsApp huwa haziishi, huko watu wataanza kubembeleza mpaka iwe kero.
 
Uzuri wa telegram unaweza kuficha namba na ukatumia jina feki, ila watu wengi tu humu ndio chanzo cha haya yote na tulikuwa tunaona hata kwenye comments watu wanamshauri atoe kitabu atapiga hela sasa kupeleka kule telegram tumeanza tena kulalamika wakati washauri wapo humuhumu,
 
TANGAZO
KUANZIA LEO NIKIOTEA STORI NASOMA PEKE YANGU KIMYA KIMYA

TUKIITANGAZA KWA WADAU WETU IKAGEUKA DILI TUNAISHIA KUNYANYASIKA KISAIKOLOJIA
[emoji27][emoji27][emoji27]
Pole sana[emoji56][emoji56]
 
Jamaa bora angeanziaga huko huko teregram

Mods waweke sheria mtu akianzisha story paka amalizw la sivyo anapigwa ban ya maisha na faini juu
Hizo sheria na kanuni unazozitaka hata mfalme herode hakuwahi ziweka. Yani unataka umpangie mtu maisha jinsi wewe unataka?? Creo que tu sistema cerebral tiene un problema.
 
Hivi viongozi wa JF hamuwezi fanya kama n hiyo sh 1000 tukachangia hapahapa JF yetu na stor tukaendekea kupata hapa.
JF n uwanja mpana tunajitosheleza na hakuna haja na mtu kukimbilia nje ya JF ikiwa umeanza hapa kwa kusikia kwa wengine tumejifunza na tutaendela kujifunza hapa kutoka kwako pia wengine.
Hawa viongoz MODERATOR'S mko wap?
 
Hivi elf moja ni pesa ya kutoa povu? Aisee umaskini mbaya sana

Kijana wa watu kagoma kuuza yawezekana angepewa pesa kubwa tu ila kaomba bukubuku ili angalau apata vocha na mb bado wanatoa povu

Achen ujinga na mawazo ya kimaskini ilipaswa tugome buku ndogo tumwambie apansdishe bei

Tabia za kimaskini
Mawazo ya kimaskini

Stupid
Hiyo buku sio tatizo hapa JF naamini hivyo! Kuna watu wamepata faraja ya maisha kwa kutoa yao ya moyoni na wengine msaada wa maisha hapa hapa.
Hivyo 1000 tutachangia hapahapa, tatizo ni kutuhamisha kwenda huko mnakoona n bora zaid!?
 
Wenye buku buku zetu tunaendelea kusoma vitu Telegram na ametupa Ile kitu ya kimkakati tayali
 
Mkuu Jimena kwanza ninakusalimia. Baada ya kuona comments zako kadhaa hapa, pamoja na kuwa kinaonekana kuwa kinzani. Lakini nadhani you have a wonderful personality. I admire you! Just said because could not hold it! Merry x mass and Happy New year!
Asante sana mkuu kwa salamu, zimepokelewa[emoji120][emoji120]

Thank you dear i real appriciate this[emoji8][emoji8]

Merry Christmass and Happy New year to you and your family!!
 
Mimi nataka kujua issue ya baiskeli ya mshkaji iliishia wapi.??


Halafu tafadhali acha kuwasikiliza baadhi ya hawa maandazi wa humu, ona kipande cha mwisho kilivyo hakina ladha kama chips zilizolala kisa tu kufupisha story,

LwandaMagere wewe tuwekee details zote ikiwezekana hata ratiba za msosi wa week nzima, tunaotaka tutasoma wasotaka waende jukwaa la siasa, hatuwezi kosa utamu kisa mafurushi machache..!!
Duuh...! Kumbe na wewe unaongea...?. Siwezi kukuchokoza kabisa kwa maneno hayo....[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mkuu hizi simulizi nazipenda sana, unaweza share link ya uzi huo tafadhali

Hiyo hapo mkuu
 
Aaah mi app nilizonazo zinatosha kwenye simu, huko telegram wala siendi na mchezo unaishia hapa...

Kwahiyo huyu jamaa ameona buku buku ndio zitamtoa? Anyway nimtakie kila la heri huko telegram
Hata mm kwa kweli
Naipenda hadithi lakini hata nikiikosa maisha yangu yataendelea
 
Back
Top Bottom