HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Amezingua mm hata hamu ya kujua ya mbeleYe angesema hizo buku tumpe hapa hapa, hayo maswala ya telegram amezingua sana,
Halafu unaposema ye anatumia bundle lake kudraft kwani unadhani sisi wengine tunatumia nini??