Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hapo angeweka link ambayo ingetupeleka moja kwa whatsapp kwake, mtu ukimlipa anakuadd kwenye group kisha ye anasimulia kwenye group, sababu humu watu karibia wote tunatumia whatsapp na sio telegram
Dah mzee anataka kunikatili huyo uko sitakua huru kugonga like zangu@Jimena onlyalvira kaburungu Hornet Mgonga Like na wale wanyanyasaji wote na simu zao orijino mtanikutaga huko
Mimi huyoooo...kwenye vitua vizuri sitaki ujinga
Tupo wengi kumbena ujanja wangu
telegram sina...
story nitakuwa nimeishia hapo kwa kweli.
Pole sana[emoji56][emoji56]TANGAZO
KUANZIA LEO NIKIOTEA STORI NASOMA PEKE YANGU KIMYA KIMYA
TUKIITANGAZA KWA WADAU WETU IKAGEUKA DILI TUNAISHIA KUNYANYASIKA KISAIKOLOJIA
[emoji27][emoji27][emoji27]
Ndo nini ??? Ili nikuone unajua lugha ya kwa bibi au..The law of mirror!!View attachment 1658004
Hizo sheria na kanuni unazozitaka hata mfalme herode hakuwahi ziweka. Yani unataka umpangie mtu maisha jinsi wewe unataka?? Creo que tu sistema cerebral tiene un problema.Jamaa bora angeanziaga huko huko teregram
Mods waweke sheria mtu akianzisha story paka amalizw la sivyo anapigwa ban ya maisha na faini juu
Mkuu Jimena kwanza ninakusalimia. Baada ya kuona comments zako kadhaa hapa, pamoja na kuwa kinaonekana kuwa kinzani. Lakini nadhani you have a wonderful personality. I admire you! Just said because could not hold it! Merry x mass and Happy New year!The law of mirror!!View attachment 1658004
Hiyo buku sio tatizo hapa JF naamini hivyo! Kuna watu wamepata faraja ya maisha kwa kutoa yao ya moyoni na wengine msaada wa maisha hapa hapa.Hivi elf moja ni pesa ya kutoa povu? Aisee umaskini mbaya sana
Kijana wa watu kagoma kuuza yawezekana angepewa pesa kubwa tu ila kaomba bukubuku ili angalau apata vocha na mb bado wanatoa povu
Achen ujinga na mawazo ya kimaskini ilipaswa tugome buku ndogo tumwambie apansdishe bei
Tabia za kimaskini
Mawazo ya kimaskini
Stupid
Asante sana mkuu kwa salamu, zimepokelewa[emoji120][emoji120]Mkuu Jimena kwanza ninakusalimia. Baada ya kuona comments zako kadhaa hapa, pamoja na kuwa kinaonekana kuwa kinzani. Lakini nadhani you have a wonderful personality. I admire you! Just said because could not hold it! Merry x mass and Happy New year!
Duuh...! Kumbe na wewe unaongea...?. Siwezi kukuchokoza kabisa kwa maneno hayo....[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mimi nataka kujua issue ya baiskeli ya mshkaji iliishia wapi.??
Halafu tafadhali acha kuwasikiliza baadhi ya hawa maandazi wa humu, ona kipande cha mwisho kilivyo hakina ladha kama chips zilizolala kisa tu kufupisha story,
LwandaMagere wewe tuwekee details zote ikiwezekana hata ratiba za msosi wa week nzima, tunaotaka tutasoma wasotaka waende jukwaa la siasa, hatuwezi kosa utamu kisa mafurushi machache..!!
Mkuu hizi simulizi nazipenda sana, unaweza share link ya uzi huo tafadhali
Hata mm kwa kweliAaah mi app nilizonazo zinatosha kwenye simu, huko telegram wala siendi na mchezo unaishia hapa...
Kwahiyo huyu jamaa ameona buku buku ndio zitamtoa? Anyway nimtakie kila la heri huko telegram