SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 2,041
- 3,119
Mti unapatikana muda wote ndani ya mwaka? Na hii dawa nyingine ni IPI?Yaah ni kweli huo mti upo Tabora kwa wingi tu hasa wilaya za uyui,sikonge na urambo sie wakazi wa huko tunaujua ila ni lazima upate dawa nyingine flan ya kuchanganyia kabla ujaiweka kwenye chai au uji. Na sie kule wamama wanalijua wakaiona mzee anatumia wanaaga kwenda kwao kwa mida na vile vile sometimes wengine huwa wanaotumia kutibia uhanithi.